Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Huyu akili anazo hajasikia watu wamedanja sababu ya chanjo fala kweli hili
Wachache acha kupotosha mfano marekani walipowe ni Zaid ya million 150+ waliokufa kutoka na adverse drug reaction hawafiki 1000 kwa hiyo huwez sema chanjo ni mbaya

kila dawa Ina adverse reaction kwa baadhi ya watu kinachoangaliwa ni wangapi iko ndo wanachoangalia
 
Hahhahhahaaha
 
Ukisikia unafiki ndio huu sasa.alishindwa nini kuonesha msimamo wake kabla magufuli hajafa?
 
Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?

Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!

Utawala wa Magu umetusaidia kujua unafiki wa viongozi na wasomi wa nchi hii. Anachokiongea Kigwangalla ni ushahidi kuwa wanaccm wengi walikuwa kifungoni, na wote ilibidi wafuate ujinga wake ili wabaki kwenye mlo. Naendelea kuamini kuwa ccm sio chama imara kabisa, bali hutegemea tabia binafsi za rais aliye madarakani ambaye huwa ni mwenyekiti wao.
 
Ukisikia unafiki ndio huu sasa.alishindwa nini kuonesha msimamo wake kabla magufuli hajafa?
Magufuli alikuwa Simba wa vita ,asingethubutu kuongea huu upuuzi mbele yake.
 
Aamke aje wapi mkuu?acha tupumue
 
Kwahiyo alikuwa anasubiri magufuli afe ndio aseme? Wachawi wengi nchi hii
 
Kwa siku kadhaa nnaendelea kushuhudia waliokua Wandamizi ktk Serikali ya Magufuli wakitoa statement za kukosoa baadhi ya mamabo aliyoyaamini. Moja wa hao ni Kigwangala lkn enzi hizo aliunga mkono kila kitu, inamaana walikua wakilinda ugali na matumbo yao na sio utumishi. Ilikua kwamba kama hawakubaliani na msimamo wa mzee wajiuzulu lkn balaa waliendelea kuunga mkono na sasa wameonyesha how stupid they are
 
Marehemu hajaoza washaanza kumkataa kama sio wao waliokua wanamsifu
 
Ndivyo ilivyo mkuu, Mwanasiasa wa Bongo muogope km Ukoma,hawafai hao ndio maana Mimi huwa siwapendi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…