Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??Kila akiulizwa hili swali huwa anazunguka tu na porojo nyingi za hapa na pale. Sio yeye wala yeyote aliyepo Simba aliyewahi kuthibitisha au angalau kutoa majibu ya kueleweka.
Vijakazi Huwa hakosekani.Una ushahidi hapo?
Utajiri sio kuwa na akili au elimu kubwa mzee Bahresa ni std 6 na matajiri wengi wako hivyoMbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
View attachment 2589854
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Ukishaingia kwenye siasa let say ubunge huko unakuwa karibu sana na wakulu wa Nchi hapo ni rahisi ukapewa V- pass na ukafunga goli kirahisi sana !Mageuzi gani yamefanyika kwenye sekta ya anga nchini ambayo mtu unaweza kujisifia nayo??
Watu wanaoenda bodi ya Simba sio kwamba wana akili sana, ni koneksheni, kujuana na sehemu ya siasa kusakia fursa nyingine zitokanazo na siasa.
Watu wengi wanaojiita ni viongozi wa mpira kwenye hii nchi hata hawahitaji mapande makubwa ya minofu kuwaacheni kwenye mataa mkishangaa.Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??
Ukishakuwa na pesa wenye akili watakutumikia maana wenye akili wengi utajiri huwa unawakataa 😅 ni ajabu lakini ndio ukweli wenyewe !!Huwezi kuwa tajiri kama huna akili...
Huko huwa wanaenda kwa ajili ya kupata influence kubwa ambayo itamrahisishia kufanya mambo yao na madudu yao pia kwa sababu Yanga na Simba ipo kila ofisi ya Umma !! Akiingia kwenye ofisi ya Umma hata ingekuwa ni kubwa kiasi gani kila mtu pale atataka kuongea na huyo mfadhili na atataka kumsaidia kwa namna yeyote ile inayowezekana !!Watu wengi wanaojiita ni viongozi wa mpira kwenye hii nchi hata hawahitaji mapande makubwa ya minofu kuwaacheni kwenye mataa mkishangaa.
Thamani ya 49% ya shareKwani hizo bilioni 20 zinazotajwa tajwa kila mara ni za nini?? Maana sielewi ni kwa nini kila mara Kigwangala husema kuwa Mo hajaingiza hizo hela kwenye Klab ya Simba.
Shea huwa zina kanuni zake. Simba hakuna mahali imefuata hizo kanuni za shea. Huwezi kuwa na shea mahali hakuna thamani halisi ya kinachokupa shea.Thamani ya 49% ya share
MoDewji is REAL MAN. Anajuwa kuwa wanasiasa kama Kigwangalla wana mbammbamba nyingi, kwa hiyo akaongea only ONCE. Sasa huyo malaya wa Nzega anaongea kuhusu hiyo kitu kila mahali.Real men ndio wakikopwa huwa wanatoka na mabango kutangazia umma?!
We mbwiga una ushahidi jibu swali.Vijakazi Huwa hakosekani.
😀😀Kuondolewa kwa Kigwangala katika uwaziri kumempunguzia Sana kazi CAG.
Watu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.Familia yao imeua Sanaa ili kupata huo utajiri.
Utajiri wa damu za watu.
Cold blooded killers.
Kwa Nini unamwandika Waziri wa zamani inatusaidia nini? Simunwandike jina yake!!Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
View attachment 2589854
Chanzo: Star tv Medani za Siasa
bitimkongwe wewe Ni kijana mdogo.Watu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.
Sisi ukipata kidogo unataka uonekane una pesa na ndugu wote wamejaa hapo unadhani hiyo biashara utafanikiwa? Halafu ndiyo unakuja na mikwara ya kurogwa na makafara.
Ndiyo maana hatuendelei
Shoga ni baba yako aliyemzalisha mama yako
Heshima Haina maana yoyote kwenye kuwa na ukwasi au kinyume chakeHaijalishi lakin atabaki kuwa na heshima yake