Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??Kila akiulizwa hili swali huwa anazunguka tu na porojo nyingi za hapa na pale. Sio yeye wala yeyote aliyepo Simba aliyewahi kuthibitisha au angalau kutoa majibu ya kueleweka.