Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Kila akiulizwa hili swali huwa anazunguka tu na porojo nyingi za hapa na pale. Sio yeye wala yeyote aliyepo Simba aliyewahi kuthibitisha au angalau kutoa majibu ya kueleweka.
Kuna bandiko nimesema uwekezaji wa Mo Simba una utata. Lakini swali la kujiuliza ni kwa nini basi viongozi wengine wa Simba wapo Kimya!!??
 
Kigwangala amesoma lakini hana akili kbs. Sasa urafiki wake unamsaidia nini Mo?

Hata kwa kuwasikiliza Mo na Kigwa utajua kbs nani anafikiri sawasawa.

Yeye kutuleta sanamu la babu yake badala ya Nyerere anajiona naakili sio.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

View attachment 2589854

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Utajiri sio kuwa na akili au elimu kubwa mzee Bahresa ni std 6 na matajiri wengi wako hivyo
 
Mageuzi gani yamefanyika kwenye sekta ya anga nchini ambayo mtu unaweza kujisifia nayo??
Watu wanaoenda bodi ya Simba sio kwamba wana akili sana, ni koneksheni, kujuana na sehemu ya siasa kusakia fursa nyingine zitokanazo na siasa.
Ukishaingia kwenye siasa let say ubunge huko unakuwa karibu sana na wakulu wa Nchi hapo ni rahisi ukapewa V- pass na ukafunga goli kirahisi sana !
 
Watu wengi wanaojiita ni viongozi wa mpira kwenye hii nchi hata hawahitaji mapande makubwa ya minofu kuwaacheni kwenye mataa mkishangaa.
Huko huwa wanaenda kwa ajili ya kupata influence kubwa ambayo itamrahisishia kufanya mambo yao na madudu yao pia kwa sababu Yanga na Simba ipo kila ofisi ya Umma !! Akiingia kwenye ofisi ya Umma hata ingekuwa ni kubwa kiasi gani kila mtu pale atataka kuongea na huyo mfadhili na atataka kumsaidia kwa namna yeyote ile inayowezekana !!
 
Real men ndio wakikopwa huwa wanatoka na mabango kutangazia umma?!
MoDewji is REAL MAN. Anajuwa kuwa wanasiasa kama Kigwangalla wana mbammbamba nyingi, kwa hiyo akaongea only ONCE. Sasa huyo malaya wa Nzega anaongea kuhusu hiyo kitu kila mahali.
 
Familia yao imeua Sanaa ili kupata huo utajiri.

Utajiri wa damu za watu.

Cold blooded killers.
Watu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.

Sisi ukipata kidogo unataka uonekane una pesa na ndugu wote wamejaa hapo unadhani hiyo biashara utafanikiwa? Halafu ndiyo unakuja na mikwara ya kurogwa na makafara.

Ndiyo maana hatuendelei
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

View attachment 2589854

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Kwa Nini unamwandika Waziri wa zamani inatusaidia nini? Simunwandike jina yake!!
 
Watu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.

Sisi ukipata kidogo unataka uonekane una pesa na ndugu wote wamejaa hapo unadhani hiyo biashara utafanikiwa? Halafu ndiyo unakuja na mikwara ya kurogwa na makafara.

Ndiyo maana hatuendelei
bitimkongwe wewe Ni kijana mdogo.
1993 ulikua wapi?
Mshana Jr
 
Back
Top Bottom