Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hata Marekani watu kama hao huwa hawaingizwi kwenye orodha ya mamilionea. Mo ana akili ya kibiashara hata kama Bw. Bageni anasema wamepingua urafiki.Fuatilia watu wanaoshinda michezo ya kubahatisha na kuingia kwenye pesa ghafla.
Kuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familiaWangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari
Anafanya siasa kwenye majina ya watu.Hata Marekani watu kama hao huwa hawaingizwi kwenye orodha ya mamilionea. Mo ana akili ya kibiashara hata kama Bw. Bageni anasema wamepingua urafiki.
π π π π
Na wewe uwe na zako za Urithi tuzioneUna uhakika MO ana uwezo wa kiuchumi au ni urithi
Unakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. π π π πKuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familia
Kwa mfano Shabiby alirithi mabasi mawili na gereji lakini leo ana mabasi 100 na zaidi na vituo kibao Vya Mafuta
Mo anasimamia mali za Mohamed Enterprise yani humo ndani kuna mtu kibao
Hata zile tukutuku za Mkopo kwa Kigwangalla aliyekataa ni mwanafamilia mwingine kabisa siyo Mo huyu wa Makolo
Hizo sasa ndio connection za kuingia au kuwemo kwenye mkondo wa mihela plus Ubunge na vitu kama hivyo ndivyo vinakufanya uingie au uingizwe kwenye mkondo wa mihela sio ile ya kitoto π !Mpuuzi huyu Kigwangala, Mo angekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri asingewachukua Hamza Johari na Chandoo kama wajumbe wa bodi wa upande wake pale Simba.
Huyo Chandoo ni mshauri wa Rais SSH masuala ya finance. Johari ndio kinara wa mageuzi ya sekta ya anga nchini.
MO ana 75% ya kampuni nzimaMo hajarithishwa amekabidhiwa mtendaji mkuu na msimamizi, wakati huo akiendesha biashara na familia
Wapi kibao tunawajua Mali za baba zao zimewashinda upo sahihi.Wangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari
Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yakeUnakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. π π π π
Mo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya familia yao na yeye ndiye "Decision Maker" na mwenye "Final Say" kwa sasa. Kama unamsifia Shabiby na Gereji aliyoachiwa, unashindwaje kumsifu Mo kwa biashara aliyoachiwa na kuiendeleza?
Kiukwasi Mo na Shabiby nani ana ukwasi mkubwa??
Kama familia yenye akili imeamua kumweka yeye kama msimamizi na yeye pia akili anazo.Kuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familia
Kwa mfano Shabiby alirithi mabasi mawili na gereji lakini leo ana mabasi 100 na zaidi na vituo kibao Vya Mafuta
Mo anasimamia mali za Mohamed Enterprise yani humo ndani kuna mtu kibao
Hata zile tukutuku za Mkopo kwa Kigwangalla aliyekataa ni mwanafamilia mwingine kabisa siyo Mo huyu wa Makolo
Hakuna kitu kinaniuma kusikia,.. Mo hana bilion 20' in Mo's voice π€£π€£π€£π€£Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
Source Star tv Medani za Siasa
"According to Psychologists, there are four types of Intelligence:Nguvu ya kumbagaza Tajiri Sina kabisa ila no kweli Mo anazingua sometimes.
Hana ile kitu wazungu wanaita emotional intelligence!!
Nani kakudanganya!!MO ana 75% ya kampuni nzima
Wewe ni mpumbavuMo hana maamuzi yoyote ya Peke yake
Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia [emoji2][emoji2]
πππHakuna kitu kinaniuma kusikia,.. Mo hana bilion 20' in Mo's voice π€£π€£π€£π€£
Na wewe pia!Wewe ni mpumbavu
Nasikia wazee wasiojulikana walifumua malinda ya MO ,walipomaliza ndio wakamvisha kanga mokoHK yupo Sahihi....Kitendo cha kusema hadharani alivishwa khanga kinaonyesha kwamba jamaa ni empty set ,yale maelezo ya kuvishwa khanga angeyatoa polisi kwa mpelelezi wake na si public.
Acha uzushi wewe.Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yake
Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia ππ
Biashara za malori, daladala, maduka ya kina mangi ndo maamuzi yanakuwa ya pekeyako.Mo hana maamuzi yoyote ya Peke yake
Yule dadake tu akikataa hakuna kinachofanyika achilia mbali hao Wazee wenyewe nyuma ya pazia ππ
Imebadili nini kwenye maisha yake na utajiri alio nao, nao wale wapuuzi walifaidika nini??Nasikia wazee wasiojulikana walifumua malinda ya MO ,walipomaliza ndio wakamvisha kanga moko