Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Hana 3.5T, hata 1T inawezekana hajafikisha
 
Wewe ungekuta baba yako ana 50B benki, viwanda, mashamba ya mkonge elfu za ekari, godauni kila kona na umesomeshwa vyuo bora Marekani ungeshindwa kufanya multiplication ya huo utajiri??
 
Wewe ungekuta baba yako ana 50B benki, viwanda, mashamba ya mkonge elfu za ekari, godauni kila kona na umesomeshwa vyuo bora Marekani ungeshindwa kufanya multiplication ya huo utajiri??
Tena angeweza kufanya zaidi kwa sababu Mo anaigaiga tu mikwaju ya akina Bakhresa
 
Huyu alimalizana na Bashe?

Huyu mtu anaonesha ni mchawi kabisa.
 
Kuwa na uwezo wa kiuchumi ni sawa na kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria. Kufikiri sio lazima uwe na degree, ni uwezo tu wa kupambana na mazingira ili ufanikiwe kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…