Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Kashastaafu
 


Kikwete uishi maisha marefu
 
Si dhani kama kuna haja ya kuandika kitabu, Maisha ya kila mtu yanajulikana na kila mtu hasa kwa hawa waliowahi kuwa viongozi, kitabu cha nini?
 
Mi nasubiria jiwe aandike, cha JK najua kitakua na historia inayovutia kusoma, cha jiwe sasa, unaweza ukasoma huku unalamba ndimu
 
Hakuna jipya ajikalie tu kimya kwenye hekalu lake, watanzania kwa sasa wanasoma namba hawana huo muda wa kusikiliza simulizi...
Ya kwamba mzee baba katuvuruga..😂
 
Mwinyi sijui ataandika lini?
 
Na ni nini kilimpata pale Jangwani hadi akala mweleka hadharani...

Maana mengi yalisemwa kuwa ni juju, mara uchovu n.k
 
Mwambieni asisahau kuandika huko na jinsi alivyoingia mkataba na wachina kuhusu bandari ya bagamoyo alitaka kutuingiza msitu wa mwabepande
 
Alianza Reginald mengi, alipozindua tu hakuchukua muda.Akaja BW Mkapa naye alipozindua tu, akaaga dunia.Tafadhali mh Kikwete bado tunakupenda!
 
Mwambieni asisahau kuandika huko na jinsi alivyoingia mkataba na wachina kuhusu bandari ya bagamoyo alitaka kutuingiza msitu wa mwabepande
Subiri kijana SGR imerudi kwa wachina bado Bagamoyo itajengwa yetu macho mabeberu bwana huchomoi!!!!
 
Ili kuiepuka Hiyo mitego ya kutumbukia kwenye shimo walilonasa Beny & Reginald,Nashauri JMK hivi: Yeye aandike hicho kitabu Halafu Kipelekwe Maktaba na kwenye Bookshops moja kwa moja bila KUKIZINDUA KWENYE HADHARA.Maana inaonekana "Hiyo spirit of death" (roho ya mauti)Inawaingia Hawa watunga vitabu wakati wanapokizindua kwenye Public.
 
Naamini katika hicho Kitabu Mambo kama ya UKIMWI kwa Watanzania, TEZI DUME kwa Watanzania, WATANZANIA KUBAMBIKIWA KESI, KUNYANG'ANYANA WAKE kwa Watanzania, KUTONGOZEWA kwa Wakubwa ili wapate Vyeo, WASANII WA KIKE na wale WANYANGE ( WALIMBWENDE ) Kusafirishwa kwenda Kungonolewa ( Kulalwa ) Ulaya na Marekani na Watawala wa juu, USHIRIKINA na kupenda Kuzurula kwa Waganga wa Kienyeji kwa Watawala wa juu wa Tanzania, Mahaba ya Viongozi wa juu kwa Yanga SC na DAWA ZA KULEVYA na FAMILIA hayatakosekana hasa baada ya kusema atatuandikia hata yale tusiyoyajua. Nitakinunua kwa Gharama yoyote ile ikibidi nitakopa hadi Pesa.
 
Mshaurini Kikwete aandike na alivyoiua CCM Mbeya kwa kumuweka Mkuu wa Mkoa Mwakipesile, mutu ya Mtandao, ambaye hakupendwa kabisa na wananchi!
 
Inawezekana hawa watu maarufu kama kina kikwete,mengi,mkapa,Chande n.k wana siri kubwa nyuma yao!Inawezekana wameuza idadi ya miaka yao kwa Lucifer ili wapate mafanikio!!!Ndio maana muda wa makubaliano ukifika wanaandika vitabu ambavyo hata mapato yao hawali vizuri wanakufa baada ya mwaka au muda fulani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…