Tetesi: Dkt. Likwelile kupandishwa Kisutu, yupo mikononi mwa TAKUKURU

Takukuru mfanye kazi yenu kwa weledi na haki!
Hilo neno.... takukuru wanatakiwa kuwa watu wa haki na intelejensia zaidi na si mitulinga.... tunategemea kesi za takukuru ziwe za haki na zenye evidensi maana kesi zao nyingi zina public interest.... wakicheza ndani ya miaka 2 ijayo, kesi
zao nyingi zitapigwa chini na mahakama na ile sifa waliyo kuwa wanaipata/tafuta wanapo pandisha watu kizimbani itawarudi na itawarudi mbaya kabisa.... kazi kwenu... maana no 1 hapendagi ujinga kabisa.....
 
likwelile inasemekana aliamua kuachia ngazi baada ya kuona taratibu za fedha zinakiukwa kwa amri za kisiasa kutoka juu,kwa sababu barua ya kujiuzulu imepokelewa kwa mtukufu yeye akaamua kuipindua kama utumbuzi!!!
 
mlisema hivyo hivyo kuhusu Dau na wivu wenu.
 
Huyu jamaa nikimuangaliaga tu sura yake kwangu imekaa ya kupiga dili, my insticts were right, bado mkurugenzi mkuu wa Tanesco, nae binafsi nafsi yangu haimuamini, namuona mpiga dili fulani.
 
Pole sana Mh Likwelile! Yule Vick nae an gundu yule! Stuka mrudie Mungu wako!
 
hapo hazina ndio alikua anachota na kuwachotea hela watu kama hela zake. tra wanahimizwa na kusifiwa kuongeza mapato na wao kuongeza kuzichota kwa kadri zinavyo ongezeka.
 
Kama ni kweli mi napongeza, hata kama atafungwa kifungo cha nje kama wale wawili, but it's better than nothing

hapo tusubirie nole prosecu au wananchi waombwe kupeleka ushahidi wakati serikali imeajiri watu wakutafuta ushahidi na inawalipa.
 
hivi exactly hii mahakama ya mafisadi/ ccm iko wapi ama pale katikati ya bahari ya hindi?
 


hawa wengine walikuwaje? una ulazima wa kutumia haya maneno hapo niliyoyapigia mstari?
 
Ila shida ya hizi kesi mawakili wa serikali hua wanaishia kuonekana vilaza.
 
Vicky kamata hana bahati ya ndoa aisee, kama jamaa akithibitika na tuhuma basi gereza litawatenganisha.
wazee wa zamani walikuwa wanakuita wanakuelekeza familia ya kuoa,nahisi huyu mh kuna jambo lamuandama,haiwezekani vidume vipite tu au vipate majanga

halafu mwandishi acha uongo,mbona jamaa yupo tu na mimi nimemuona leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…