Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Acha uzee weewe ukitaka aitwe nani ili uone kama wako serious.? Umeshazoea maafari kuhudhuriwa na wanasiasa. Mr.Shika Lous ni Doctor by professional si mchimba chumvi hata kidogo
Hajielewi huyu maana hata taarifa sahihi juu ya chuo hana.
Chuo hakitoi kozi ya unesi hilo hajui...halafu kuna njia rahisi siku hizi kupata taarifa sahihi kama nacte na TCU angejiridhisha kabla hajaropoka ...
 
DR. Shika umeahidi $1m... kwa wanafunzi Kahama na mkuu wa Wilaya kakufagilia kweli.... huu si wakati wa masihara tena, mzaa Ukiendelea utakuja kuharibu.... ni maombi yangu uwe na hekima, maana ukitoa ahadi tena za kiswahili sasa utakuwa tapeli wa ukweli... usiichezee hii fursa mzee#
 
Mkuu una uhakika ulisemalo au?
Ulikuwepo eneo la tukio?
Unazo clip za video na sauti ututhibitishie hilo?
Mkuu wa wilaya, afisa usalama wa wilaya walikuwepo pale na baada ya mahafali waliendelea na mazungumzo ulikuwepo?
Tupatie ushahidi wa uyasemayo ili tuchangie hoja kwa misingi ya haki ...
 
Kweli duniani kuna mambo, kwani huyu mshikaji mbona ni mtu wa watu siku zote alikuwa wapi? Basi na iwe hivyo anavyo sema osiishie mitandaoni nimemkubali "Dr Shija niseme tu ulipo nipo" wahenga walinena hayo.
 
Ratiba iko tight balaa
 
Hizi kamba za CCM wajinga ndio waliwao....atapotea kama babu wa Loliondo tu.......
 
This man yupo kwenye mission fulani..its divertion....
 
Weka hiyo video, na mlimualika kutoa nasaha yeye akiwa kama nani? Kwani mlikuwa mnafanya tangazo la biashara?
Alialikwa kama mtanzania wa kawaida lakini kubwa analoweza kukuzidi yeye pasi na shaka ni msomi wa juu kabisa.
Na ametimiza jukumu lake kama alivotakiwa.
 
Michezo ya Kijitonyama wachache wataijua kama waliokimbizwa loliondo kunywa kikombe
 
Mkuu najua umechukua clip na phone ako kwa mbele apo.
Naomba ntumie hotuba ake PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…