Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
- Thread starter
- #221
Hajielewi huyu maana hata taarifa sahihi juu ya chuo hana.Acha uzee weewe ukitaka aitwe nani ili uone kama wako serious.? Umeshazoea maafari kuhudhuriwa na wanasiasa. Mr.Shika Lous ni Doctor by professional si mchimba chumvi hata kidogo
Chuo hakitoi kozi ya unesi hilo hajui...halafu kuna njia rahisi siku hizi kupata taarifa sahihi kama nacte na TCU angejiridhisha kabla hajaropoka ...