Duhhh....[emoji12] [emoji12]Mdada alikuwa wa kwanza kusogea mbele na kisimu chake akimpiga picha Dr shika...amevaa gauni la blue ndio mie hapa afisa masoko mwenyewe[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Nipo lango la kutoka upande wa high table...
Njoo nikupe za sakafuni toka kwa Dr Shika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukipiga nae hata selfie itapendeza sana!Nabonga mawili matatu na Dr hapa hightable
Ahaaa ahaaa ahaa mkuu kuwa makin umaarufu wa shika umekuja baada ya yy kukatwa vidole zaid ya vinne...pamoja na kukatwa sikio na kukaa mahabusu zaidi ya siku tatu...so get rich or die trying...all da bestdah kwa style hii ngoja namie nijitafutie umaarufu hata kumpiga busu mzee wa magogoni hadharani
Bahati ya mwenzako usiilalie mlango waziKumbe kuvuruga minada ya watu ni dili siku hizi😵
Hyu ni vyema sasa akawa na manager, itamsaidia sana ktk harakati zake na hata kujipatia kipato sahihi...kupunguza unyonyaji na kutumika sna kwa maslah yao[emoji3][emoji3][emoji3] huyu bwana Ana cheo gani Tanzania?
alaf hajui kukataa mwaliko.
Ukicheka na ushuzi unakutoka???[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] tayarNimecheka hadi machozi, huyu mzee aanze kulipwa na serikali, katupunguzia sana stress aiseeee, yani anatembea kwenye gari ya wazi huku anapunga mkono,,,,, Ila nilikua najizuia kucheka kutokana na sehemu na watu nilionao, nimejikuta kicheko na ushuzi vimetoka kwa pamoja
hakuna ww utakua mtu mwenye furaha zaidi.. Ni wachache Sana huombea wenzao furaha.Kwa alivyokua acha tu apate furaha bana,,mi nafurahi apate zaidi na zaidi
Heheh umesoma st.Patrick mzee?Nilimuacha 2 classes secondary trust st Patrick chuga,,, he wasn't serious at all,.mzee wake anatakiwa ampeleke nje sio kahama
Haaaaa....ujiandae kwelikwelidah kwa style hii ngoja namie nijitafutie umaarufu hata kumpiga busu mzee wa magogoni hadharani
Hongera yako kwa unyapinyapi huu, Dr.Shika ndo habari ya mujini..... japo sometymz hatupend kuckia lkn hakuna namna lazma twende na beat, na shika ndo beat lenyewe[emoji12]WanaJamiiForums habari za mchana,
Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo..
Picha zaidi nitatupia .
View attachment 636292 View attachment 636293
ni daktari wa kusomea boss.hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki
leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo
na watu wanapongeza kabsa
Wivu humuua mmiliki mkuu,.hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki
leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo
na watu wanapongeza kabsa