Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Sasa tuko nao kwa win win stuation.
Huko nyuma tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa hivi sisi tunapata 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa sisi kuambulia 1% au 0% wakati dhahabu ni yetu, wao wana mitambo tu ya kuchimba dhahabu.
 
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
alipokea beberu mmoja . akamwita mtengeneza ndege wakajifungia nae ndani akaagiza mindege bila kufuata sharia za manunuzi za Tanzania. akala 10% akatoka akischeka .
kwani rostam Azizi ni nani kama sio beberu mbona alimkaribisha ikulu
 
Sure 2020 Ni yeye Mh JPM kama humpendu katafune malimao.
Kuchagua Magufuli 2020
Nikuchagua Uminywaji wa Vyombo vya habari.

Nikuchagua watoto wetu wanaohitimu Vyuo Vikuu waendelew kukaa nyumbani bila Ajira.

Ni kuchagua Ukabila wa wazi.
Nikuchagua Ukandamizwaji wa Mihimili ya Bunge na Mahakama
 
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.

Hakuna nchi yeyeto duniani iliyoshirikiana na mabeberu ikawa fukara,hatutaki ujamaa na ukomunist nchini kwa kutufanya kuwa masikini ili tumuabudu.
Sisi sio kisiwa Hakuna maendeleo pasipo kushirikiana kimataifa,
Sera zake mbovu za ujima ndizo zimezaa ufukara nchini.
Twende na mtu mwenye vision, civilized,matured na exposured.Hatupo zama za ujima
 
Umechanganyikiwa wewe siyo bure
 
Alisoma syllabus za zamani zilizojazwa chuki dhidi waliofanikiwa, thus tunataka mtu mwenye mentality za kitajiri ili tusiwe masikini.
 
Sio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tu

Mkapa aliwaita _ wawekezaji
Kikwete aliwaita _ wadau wa maendeleo
Jamaa amawaita _ mabeberu
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje.
Hata Nyerere aliwaita mabeberu mbele ya kamera nyuma ya kamera anapokea misaada yao,alipopigwa njaa akaomba mabeberu ndio walimlisha alipotaka kupinduliwa mabeberu ndio waliomrudisha madarakani,wanaowananga mabeberu ni sawa na lijuakali kuwananga chadema kwamba yeye ni Mkubwa kuliko chadema alipopigwa spana anatamani kurudi chadema
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja dawa iwaingie na bado kampeni hazijaanza,Lumumba mna shida sanaa
 
Magufuli leo akidanganyana na wanaccm wenzake anasema anataka kuifanya Tanzania ifanane na ulaya,hivi jamaa huyu anajua nchi gani huko ulaya na je anafahamu kuwa mabeberu ndo wanaishi huko ulaya?Je mtu ambaye hawatakia mabeberu Ila Mambo yao anayataka na kuyatamani huko kwenu mnamuitaje? Je ukiwa na akili timamu unaweza kushangilia Magu akisema anataka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya wakati in five good years ameongeza only USD 100.00kwenye GNI
 
Hii huenda ikawa ni lifetime mission....Xi Jin Pinism loading.
 
1. Ajira!

2. Nyongeza mishahara!

3. Ubora wa Elimu!

4. Ubora wa mikopo elimu ya juu!

5. Utawala bora!

6. Siasa za chuki na ukabila!

7. Umoja wa kitaifa!

Sasa hivi tuendako!
Hayo uliyoorodhesha ni vision au kitu gani kati ya hivi:
1. Vision
2. Mission
3. Main objectives
4. Specific objectives
5. Methodology
6. Stratedgy
7. Activities

Tunazungumzia vision na mission!
 
Of coz wacha tuendelee kudanganyana kwa mambo haya ! [emoji116][emoji116] Magu kanyaga twende mzee.
 
Dhambi ya ubaguzi unaofanywa kwa misingi ya kiitikadi za vyama na CCM ndiyo itawaondoa makaburu weusi hawa wa Lumumba madarakani kama walivyoondolewa makaburu weupe kule SA. Ubaguzi ni ubaguzi tu uwe umefanywa na mweusi au mweupe.
 
Labda ataifanya chato Kama dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…