OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
lakini ni mababeru!Ni Rais pekee aliyewatikisa mabeberu wakapanda Ndege kutoka huko waliko hadi bongo kufanya mazungumzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini ni mababeru!Ni Rais pekee aliyewatikisa mabeberu wakapanda Ndege kutoka huko waliko hadi bongo kufanya mazungumzo.
Wekeni mapingamizi hata 100 kwani nani kawazuia??Mwambie tutamuwekea pingamizi tu mwaka huu, hakuna jinsi hata kama ni Baba Mkwe
Sasa tuko nao kwa win win stuation.Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Sure 2020 Ni yeye Mh JPM kama humpendu katafune malimao.Niyeyeeee 2020
alipokea beberu mmoja . akamwita mtengeneza ndege wakajifungia nae ndani akaagiza mindege bila kufuata sharia za manunuzi za Tanzania. akala 10% akatoka akischeka .Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Kuchagua Magufuli 2020Sure 2020 Ni yeye Mh JPM kama humpendu katafune malimao.
Hatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
Hata Nyerere aliwaita mabeberu mbele ya kamera nyuma ya kamera anapokea misaada yao,alipopigwa njaa akaomba mabeberu ndio walimlisha alipotaka kupinduliwa mabeberu ndio waliomrudisha madarakani,wanaowananga mabeberu ni sawa na lijuakali kuwananga chadema kwamba yeye ni Mkubwa kuliko chadema alipopigwa spana anatamani kurudi chademaSio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tu
Mkapa aliwaita _ wawekezaji
Kikwete aliwaita _ wadau wa maendeleo
Jamaa amawaita _ mabeberu
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje.
Hayo uliyoorodhesha ni vision au kitu gani kati ya hivi:1. Ajira!
2. Nyongeza mishahara!
3. Ubora wa Elimu!
4. Ubora wa mikopo elimu ya juu!
5. Utawala bora!
6. Siasa za chuki na ukabila!
7. Umoja wa kitaifa!
Sasa hivi tuendako!
Jamaa anataka kuifanya Tanzania ifanane na nchi za beberu bwana in just five years.Mdomoni beberu hatakiwi moyoni tunatamani Mambo yakeUmetumwa na beberu wewe
Labda ataifanya chato Kama dar es salaamMagufuli leo akidanganyana na wanaccm wenzake anasema anataka kuifanya Tanzania ifanane na ulaya,hivi jamaa huyu anajua nchi gani huko ulaya na je anafahamu kuwa mabeberu ndo wanaishi huko ulaya?Je mtu ambaye hawatakia mabeberu Ila Mambo yao anayataka na kuyatamani huko kwenu mnamuitaje? Je ukiwa na akili timamu unaweza kushangilia Magu akisema anataka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya wakati in five good years ameongeza only USD 100.00kwenye GNI