Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Kama yapi? Msikalili nyie watu na hao akina zitto wanaofanya mikutano bila barakoa wakati walitaka nchi ifungwe ili wao wapate neema. Mbona hawafi sasa na barakoa wala social distance hawafuati?

Unataka maendelea gani ya watu ambayo yamekosekana?
maendeleo ya vitu kam hayachochei kubadili kuboreshahali za maisha ya watu huwezi sema ni maendeleo,labda tu kama lengo ni kuacha legacy ya kukumbukwa kupitia majengo
 
Brain kama haijaandaliwa haiwezi kufanya kazi. Siyo akina mbowe wanachagua warembo na kuwapa ubunge wakati kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya chama wanakosa
hao waliobaki mbona wnapiga kazi
 
maendeleo ya vitu kam hayachochei kubadili kuboreshahali za maisha ya watu huwezi sema ni maendeleo,labda tu kama lengo ni kuacha legacy ya kukumbukwa kupitia majengo
Yeye ukiacha majengo ya dodoma, yapi amejenga? Yeye anajenga miundombinu ili wenye akili waitumie kupata vipato.

Nenda njombe uone watu wanavyopiga pesa. Mti mmoja wa parachichi unanunua vyakula vya mwaka mzima vya familia. Si ndo uchumi huo?
 
Brain kama haijaandaliwa haiwezi kufanya kazi. Siyo akina mbowe wanachagua warembo na kuwapa ubunge wakati kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya chama wanakosa
mtu anawezaakawa na shida ya vyeti sababu ya mfumo mbovu wa elimu yetu, lakini utaalamu huwezi ufoji mfano ualimu,udereva,udktari,ufundi nk.Case study baada ya kuajiriwa madereva vyeti ulishuhudia mwenyewe ongezeko la ajali za magari ya umma
 
Yeye ukiacha majengo ya dodoma, yapi amejenga? Yeye anajenga miundombinu ili wenye akili waitumie kupata vipato.

Nenda njombe uone watu wanavyopiga pesa. Mti mmoja wa parachichi unanunua vyakula vya mwaka mzima vya familia. Si ndo uchumi huo?
Chato kuna tija gani kiuchumi kwa wa chato au kitaifa zaidi ya kupoteza kodi zetu zingetumika kwenye kutatua tatizola ajira kupitia kuboresha kilimo.
project za parachichi njombe zimekuwepo kabla hata ya awamu hii,
 
Una akili fupi kama za polepole, hiyo miradi ametekeleza kwa pesa ya mfukoni kwake?
 
majeshini mbona ajagusa vyeti kwani wao sio watumishi
Hawajamaliza std 7? Kumbuka kule elimu ya chuo ni kwa mabos, lkn wote wanafundishwa medani za kivita tu. Wote wamefuzu.

Wacha kulalamika, ona wenzio
 
Una akili fupi kama za polepole, hiyo miradi ametekeleza kwa pesa ya mfukoni kwake?
Kwani asingetekeleza nani angemhoji? Lkn kwa uzalendo wake katekeleza hajasikiliza makelele ohoo wahisani watagoma.

Machadema muda huu tungekuwa ndani kama watoto wa ndege kwenye viota lkn sasa tunatamba na yenyewe hayavai barakoa.

Akili fupi za wanaotaka tuwakabidhi nchi
 
Chato kuna tija gani kiuchumi kwa wa chato au kitaifa zaidi ya kupoteza kodi zetu zingetumika kwenye kutatua tatizola ajira kupitia kuboresha kilimo.
project za parachichi njombe zimekuwepo kabla hata ya awamu hii,
We una heka ngapi?
 
Kama hauoni shida, basi akili yako ndogo sana. Bishana na watu wengine. Mimi nakuacha. Kubishana na mtu kama wewe ni kujishusha sana.
Huna hoja kazi kukariri tu ujinga wa kina zitto na Lissu. Ainisha hapa ujibiwe, huwezi kalale ukue uwezo wa tafakari
 
nipo kwenye process,
KILIMO NDIO msingi mkuu ajira market ya parachichi demand yake China na Ulaya hatuwezi ijaza hata tulime wote nchi nzima.

pesa zilizowekezwa kwenye miradi hii yote yenye mbadala wake tayri laiti kama zingewkezwa kwenye kilimo zimesharudi na kuzaa mara tatu ya pesa zote zilizowekwa kwenye hio miradi isiyolazima sana cozi tayari ina mbadala wake.Hii imemaliza tatizo la ajira nchini ikiwemo kuondo au kupunguza idadi ya machinga mijini ambao ni zao la sera mbovu ya awamu hii kuhusu uchumi.
 
Majukumu ya rais ni yapi? Kijana wa lumumba usitumie masaburi kutetea ujinga wako.
 
Au majukumu yake ni kufanya anasa na starehe tu na akina jocate, eti? Usiwe mpuuzi, hayo ni majukumu yake kwa kutumia kodi zetu.
 
Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee, aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
Bado nainyoosha nchi
 
Kwani wapinzani wana hoja ipi ?
Jamaa kama nanilii vile, hana hoja zaidi ya hayo mabarabara na ma flyover na midege ambayo Mungu ameilaani.
Haijawahi kuleta tija na likorona limeyakoronoa madege yenyewe
 
NEC ,

TANGAZENI KAMA KAMPENI ZIMEANZA.

VINGINEVYO CHUKUENI HATUA.

MSIPOKEMEA, WENGINE WAKIFANYA HIVYO,

MSITOE VITISHO .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…