Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Na hajui hlo bumu analotaka aongezewe litamtesa kwenye maisha yake ya ajira, asipoangalia anaweza kulipa maisha yake yote...

Na hii mitoto ya siku hz unaendeshwa na bata tu.. Badala iwaze ikimaliza itapataje ajira.. Inawaza ela nying tu
Kwani ajira zenyewe zipo?
 
"Tumechoka Taifa hili unalima pamba unaisafirisha kama malighafi, halafu wakishatengeneza nguo wanazivaa wanakuletea mitumba wakati pamba ni yako. Sisi tunataka tukilima pamba tunaichakata hapa zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza." -Rais
@MagufuliJP
 
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?

Hiyo inaonyesha akili za wasomi kuwa wanawaza leo tu!
 
Viwanda vya nguo vilikuwepo. Wao ndo waliviua.
 
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
Asubiri tu na degree yake ya Education/Sociology/uhasibu/Procurement etc ataenda kua saidia fundi kwny hosp. za kata zinazojengwa huko kijijini kwake ndipo atamuelewa vzr mtetezi wa wanyonge.
 
CCM imejaribu kuitafsiri kaulimbiu ya ACT wazalendo isemayo Kazi na Bata na kuwataka wananchi wawe makini na wanasiasa wajanja wajanja.

CCM imesema kwanza bata ana tabia ya uchafu na uchafuzi sasa utafanyaje naye kazi?......ameuliza Dr Bashiru.

Source ITV.

My take; ACT wazalendo tupeni maana ya Kazi na Bata.

Maendeleo hayana vyama!
 
Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee....aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
Ashatuambia anataka Tanzania iwe kama ulaya

Ova
 
Hukumsikiliza Magufuli kuhusu ajira?,ameliongelea namna ya kutengeneza ajira nchini ,fuatilia maelezo yake yote,utaelewa kwa nini mwanafunzi huyo hakuongelea ajira kwa sababu maelezo yalikwisha tolewa
Miaka 5 hii ameshindwa kutengeneza hizo ajira,kutoa ajira zilizo rasmi haijawahi kua kipaumbele chake na wala haitakua na kwny awamu yake vibarua/saidia fundi imekua ndio ajira rasmi sasa kwa maono yake yeye.

Mwambie wanyonge wanamshukuru sana.
 

CCM wanalazimisha maji kupanda mrima, Mimi sitowapigia kura mpaka waoneshe hela za tetemeko hapa Bukoba mjini , watu bado wanalala nje kwenye matrubai ,wao hela wanakula.
 
Jamaa kama nanilii vile, hana hoja zaidi ya hayo mabarabara na ma flyover na midege ambayo Mungu ameilaani.
Haijawahi kuleta tija na likorona limeyakoronoa madege yenyewe
Hivyo vitu vina tija kubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…