Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kwani ajira zenyewe zipo?Na hajui hlo bumu analotaka aongezewe litamtesa kwenye maisha yake ya ajira, asipoangalia anaweza kulipa maisha yake yote...
Na hii mitoto ya siku hz unaendeshwa na bata tu.. Badala iwaze ikimaliza itapataje ajira.. Inawaza ela nying tu