NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wala hata hakumbuki kama alisema mwenzie GwajiboyHahah daah anaweza kukana kama alisema kitu kama hicho mkuu.
Tuko na Magufuli hadi 2025.Unampenda Lissu eeh?
Wewe ni jingaAjira?
Yeye anajua mambo ya ujenzi tu.
Yeye ajira hua anaona vijana waliosoma wakiwa vibarua/saidia fundi huko kwny ujenzi wa shule,zahanati,barabara inatosha kabisa.
Nilitaka aseme na UDOM kajenga yeye,na amesema.Ulitaka aseme nimewagawia kila shilingi laki mbili mbili?
Wala hujakosea mke wangu mzuri.Wewe ni jinga
Mwaka huu ccm mepanga ni mkoa gani vile kupatwa kwa juaMacho na masikio yote kuelekezwa kwenye tukio kubwa jua litapatwa!
Wakati mwingne hata kunyamaza kimya ni busara kuliko kuongea'Yesu Kristo alipendwa na wengi'
Daah Lugola bana aliwaweza wana CCM.
Kweli kabisa mkuu,Lugola oyeeeeWakati mwingne hata kunyamaza kimya ni busara kuliko kuongea
ππππ ila isije kutokea mataga wakafanya maamuzi kama ya wajumbe. Wakamyima kura kabisa
October anarudi kwao Chato!!Tuko na Magufuli hadi 2025.
Hutaki kunywa sumu ufe!
Kumtambua anayejitambua, kwanza wewe mwenyewe uwe na uwezo wa kujitambua, which I doubt.Lissu hajitambui
mrafi wa madaraka hana jipya zaidi ya vitisho!!Si alisema hii kazi ni ngumu sana ilibidi apumzike
Wewe utaenda mbinguni ni mtanzania wa kwanza kuwa mkweli. Basi tuungane nchi nzima tuwashawishi wake/waume zetu na marafiki na ndugu tuondoe dhulma hii na ukabila nchiniAchukue tu ila kama atasoma hii post yangu atambue kuwa sisi watumishi wa umma hatumpendi.
Wafanyabiashara nao hawampendi, Wakulima wachache about 30 ndio wanampenda.
Kwahiyo akishinda basi ajue kuwa anawaongoza watu wasiompenda.
Yesu Kristo alipendwa na wengi lakin hawakukosekana waliomchukia, Adolph Hitler pamoja na mabaya yake tunayosimuliwa lakin bado kuna waliokuwa wanampenda sana, hata wewe hapo kutoka ktk jamii inayokuzunguka na ukoo wako pia wapo wanaokupenda na wasiokupenda pia wapo, hata watoto wako (kama unao) sio ajabu kukuta wapo wanaokupenda na wanaokuchukia.
Huyu bwana mkubwa aliyetoka kutibiwa juzi pamoja na kupambwa kwa mambo meeeeeengi, lakin wapo wanaompenda sana lakin hauwezi kupinga kwamba hakuna wanaomchukia tena sio ajabu hata alionao humo humo kwenye chama chake, halikadhalika kwa huyo mnaemuita jiwe, kuna watu huwaambii kitu kumuhusu huyo mzee wana mahaba nae ya dhati lakin wengine wanamchukia hadi wanaombea kwenye utawala wake nchi ipate majanga mazito yatakayopelekea vifo vya watu wengi, na ktk hao wengi watakaokufa nae afe
AminaWewe utaenda mbinguni ni mtanzania wa kwanza kuwa mkweli. Basi tuungane nchi nzima tuwashawishi wake/waume zetu na marafiki na ndugu tuondoe dhulma hii na ukabila nchini
Ongeza tena matusi mengineUko sawa kabisa mama watoto,nadhani sumu ya kuulia mende itakufaa kabisaa.