Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Kwaiyo unataka kuwaaminisha watu kuwa icho kitabu kimejaa miradi peke yake?.
 
Ajira?

Yeye anajua mambo ya ujenzi tu.

Yeye ajira hua anaona vijana waliosoma wakiwa vibarua/saidia fundi huko kwny ujenzi wa shule,zahanati,barabara inatosha kabisa.
Wewe ni jinga
 
Mungu tu ampe stahiki yake! Maana kama Mungu wetu mwema ataamua, huyu jamaa hawezi baki salama! Kaumiza wengi mno kwa roho yake mbaya zaidi ya mnyama!
 
Achukue tu ila kama atasoma hii post yangu atambue kuwa sisi watumishi wa umma hatumpendi.

Wafanyabiashara nao hawampendi, Wakulima wachache about 30 ndio wanampenda.

Kwahiyo akishinda basi ajue kuwa anawaongoza watu wasiompenda.
Wewe utaenda mbinguni ni mtanzania wa kwanza kuwa mkweli. Basi tuungane nchi nzima tuwashawishi wake/waume zetu na marafiki na ndugu tuondoe dhulma hii na ukabila nchini
 
Yesu Kristo alipendwa na wengi lakin hawakukosekana waliomchukia, Adolph Hitler pamoja na mabaya yake tunayosimuliwa lakin bado kuna waliokuwa wanampenda sana, hata wewe hapo kutoka ktk jamii inayokuzunguka na ukoo wako pia wapo wanaokupenda na wasiokupenda pia wapo, hata watoto wako (kama unao) sio ajabu kukuta wapo wanaokupenda na wanaokuchukia.

Huyu bwana mkubwa aliyetoka kutibiwa juzi pamoja na kupambwa kwa mambo meeeeeengi, lakin wapo wanaompenda sana lakin hauwezi kupinga kwamba hakuna wanaomchukia tena sio ajabu hata alionao humo humo kwenye chama chake, halikadhalika kwa huyo mnaemuita jiwe, kuna watu huwaambii kitu kumuhusu huyo mzee wana mahaba nae ya dhati lakin wengine wanamchukia hadi wanaombea kwenye utawala wake nchi ipate majanga mazito yatakayopelekea vifo vya watu wengi, na ktk hao wengi watakaokufa nae afe

Sio watu wafe utakuwa unakosea, watakuwa wanaomba kuwa yeye afe
 
Back
Top Bottom