Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Lazima muambiwe ukweli kwamba mlikosea kuchagua na ndio maana hakuna maendeleo.
Sasa unazani akisema mchagueni upinzani hawa upinzani wa sasa kila kitu kupinga je hayo maendeleo yatakujaje wajomba fikirieni hahahah
 
Hivi unafahamu ni maeneo mangapi yalikuwa na viongozi wa upinzani na wamefikiwa na maendeleo ,

Kama kuna watu ni wabaguzi na wanachuki basi ni wapinzani ambao wanadiriki hata kususia miradi ya maendeleo kwa kuona ccm itapata faida na kunufaika.
Waambie hao maana hata hawajui wanaongea tu mbona bungeni wanatoka wanashindwa jadili mambo ya msingi kwa maslahi ya watanzania na badala yake wanatoka nje.h.
Sasa hapa je unataka Rais asemaje labda.
Ni bora aseme hivyo maana mkichagua upande mwingine wao kazi yao ni kupinga tu je ataletaje maendeleo mjomba hahah
 
Lazima muambiwe ukweli kwamba mlikosea kuchagua na ndio maana hakuna maendeleo.
Sasa unazani akisema mchagueni upinzani hawa upinzani wa sasa kila kitu kupinga je hayo maendeleo yatakujaje wajomba fikirieni hahahah

..maendeleo hayaji kwasababu ya vipaumbele vibaya vya CCM na Magufuli.

..kwa mfano, tumetumia billion 500+ kununua midege toka kwa mabeberu wakati wananchi wa maeneo mengi nchini hawana maji safi na salama.

..wizara ya maji imekuwa ikipewa chini ya 20% bajeti iliyopitishwa na wabunge, kwasababu Magufuli ana vipaumbele vyake binafsi vya upigaji na ufisadi, badala ya kuzingatia vipaumbele vilivyoko kwenye bajeti.
 
Nileteeeni Rashidi
Nileeteeeeeeeni Rashid
Nileeteeeeeeeeeeni Rashidi
Niiileeeeteeeeeeeeeeeeeniiiiiii Rashiidii

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ebu twende polepole mjomba sio unakurupuka tu.
Twende tutajie maeneo ambayo upinzani wameongoza je huko hakuna maendeleo.
Tukianza na Kawe tu ambapo yupo shoga Halima mbona miradi ya maendeleo imepwlekwa huko eeeh

..serikali imekuwa ikilihujumu jimbo la kawe kwasababu linaongozwa na mpinzani.
 
Point yako ikwapi hapa na inahusika vipi nanubaguzi mjomba hapo eeeh maana sijakuelewa bado eeeh
 
Yeye mwenyewe anaongoza kwa ubaguzi
Tutajie au tuambie kwamba watu au sehemu fulani hakupeleka huduma za kijamii kama ubaguzi.
Acha kuropoka mjomba mbona hospital anajenga na wanatibia wote?
Mbona barabara kajenga na wanapita wote sasa huo ubaguzi unatoka wapi acheni mambo yenu nyinyi chiba camp.
 
Taja sehemu gani zinazingua sio unakuja na makala ndefu hakuna point mbele wala nyuma.

Ndio kawaaida yenu kulalamika hamjawaigi hata siku kurizika haya njoo na fact hapa.
 
Naaaam hakika kabisa tutailinda amani daima na milele na miaka yetu yote nanwakati wetu wote achana na chama cha Machiba hao.
 
Chadema wanasiasa za kishamba sana, walianza uchaga na ukanda, sasa wanaleta udini kwa kushirikiana na sultan seif na zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…