Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Sawa muache apeleke maendeleo Chato.View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake Hamisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mchawi na muuajiView attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake Hamisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Huyu si alitaka kuwa kiongozi wa malaika?
Si alisema maendeleo hayana vyama?
Si amewahi kusema kuwa hata kwa wapinzani anapeleka maendeleo habagui?
Ndie rais alie apa kuilinda katiba. Ana onyesha sura yake. Kwamba ana wa kifuani na wa mgongoni. Ni kiongozi wa Ccm huyu..View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake Hamisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Kaeni kwa kutulia saiz tunahamasishana nyumba kwa nyumba make tunao ishi maisha ya kipumbavu ni sisi wananchi wa kawaida tusio nufaika na sisiemu saiz tunaenda kumwaga ugali wenu soon tulieniNaona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aiseeNdie rais alie apa kuilinda katiba. Ana onyesha sura yake. Kwamba ana wa kifuani na wa mgongoni. Ni kiongozi wa Ccm huyu..
Kweli ana hali mbaya ina maana hajui kama analishwa na kulishwa na kodi za watanzania wote ikiwemo hao anaosema watoto wa jirani naamini kweli hao anawahutubia ni mazuzu vinginevyo huwezi kuongea such a nonsense kwenye jamii ya watu wanaojitambua na wakaendelea kukushangilia.View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake Hamisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Na duniani kote ni Tanzani tu ambako mtu kama Magufuli bado anaweza kuendelea kuwa Raisi.Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
povu.Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Ndio kawaida yake!Dah, hapa mheshimiwa kazingua sana.
Hahahahaha not this way. This is highest degree of insanity!!Natural justice
.
Kwanini unaamini hivyo?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)