Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Uzuri wa haya mambo hata wapumbavu wanaoendelea kukikumbatia chama chake wanaisoma namba.
 
Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Mbona unakimbilia kusema mambo ya kura.Nakwanini zisizidi hiyo idadi uliyosema,maana ata kama nikuchakachua bado hamna jeuri yakuchakachuka kiasi hicho.Na usidhani mnakubalika kiivyo kama unavyojiaminisha.
 
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida

Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
 
Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa Rais Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu tatizo Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Genta the genius!! Huoni shida hapa mzee??? Haya ndo maneno ya kutamka kipindi cha kampeni????

Unasema kabisa kwamba wewe una ubaguzi kwenye kugawa maendeleo ukiwa kiongozi??? Usiniangushe the genius huwa nakuamini sana ndugu yangu!!
 
Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.

Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29.

Mpaka hapo zaidi ya nusu ni za CCM tu. Ni Virtual zipo vitabuni tu. So,hata Lissu afanyeje hawezi kushinda. Najaribu kuwaambia ukweli ili msiendelee kujidanganya kwa matumaini hewa.

CCM haitegemei kura za wananchi. Mfano, hata wakipiga kura watu milioni 8 tu, jumla ya kura mwaka huu zitakuwa zaidi ya milioni 20. Kama una akili utanielewa, ila hata ukielewa huwezi kubadili lolote, hata huyo Lissu wenu hawezi. Endelea kushabikia ujinga wa sijui Robert Amsterdam.
 
Kwasasa CCM na JPM hawana mpinzani, walipoweza kuruka kihunzi cha 2015 walimaliza kila kitu. Kwasasa CCM ata uwaambie kesho tufanye uchaguzi hawana wasiwasi. Mbaka sasa CCM haija tumia ata nusu ya uwezo wao wa kushawishi, wanakusanya nguvu za 2025.
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakani
 
Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29. Mpaka hapo zaidi ya nusu ni za CCM tu. Ni Virtual zipo vitabuni tu. So,hata Lissu afanyeje hawezi kushinda. Najaribu kuwaambia ukweli ili msiendelee kujidanganya kwa matumaini hewa. CCM haitegemei kura za wananchi. Mfano, hata wakipiga kura watu milioni 8 tu, jumla ya kura mwaka huu zitakuwa zaidi ya milioni 20. Kama una akili utanielewa, ila hata ukielewa huwezi kubadili lolote, hata huyo Lissu wenu hawezi. Endelea kushabikia u.senge wa sijui Robert Amsterdam.
Tukutane October 2020. Endelea kuishi kwa kukariri tu ndugu. Utajua hujui mwaka huu!!
 
Genta the genius!! Huoni shida hapa mzee??? Haya ndo maneno ya kutamka kipindi cha kampeni????

Unasema kabisa kwamba wewe una ubaguzi kwenye kugawa maendeleo ukiwa kiongozi??? Usiniangushe the genius huwa nakuamini sana ndugu yangu!!

Sasa hivi GENTAMYCINE nipo 'Kikampeni' zaidi Mkuu, hivyo nakuomba tu 'tuvumiliane' kidogo kwani siwezi Kuacha Rais wangu Magufuli asishinde.
 
Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)

Kuna tatizo gani asipokuwa rais? Nchi hii ina miaka 60 toka uhuru, na raia 59m+, idadi yote hiyo ya watu, ni watu watano tu wamekuwa marais. Hivyo hakuna tatizo kwani kwa ratio hiyo kuwa rais sio uwezo bali ni bahati. Tunachotaka ni ashindwe kihalali tu basi. Na uzuri kampeni hizi zimeonyesha kuwa ccm haina uwezo wa kushinda kihalali kwa kura zaidi vya 55%, na zama za ccm kuwa chama pekee zimeshapita na hazitakaa zirudi tena. Kinachofuata ni ccm kutolewa madarakani kwa amani, au kinyume chake muda si mrefu.
 
Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Ni kweli kabisa unachosema, ila unapata nguvu ya kusema hivi kwasababu unajua kitakachofanyika. Ila ikitokea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vikaingiwa na roho wa Mungu vikaamua kutenda haki kwa kuhesabu na kutangaza kura halali kulingana na zilivyopigwa na kusema na liwalo na liwe, kitakachotokea nina hakika unakijua
 
Nilikuwa nacheki mubashara naona kuna muda aliposkia na kuona mafuriko ya lisu mbeya akatoka jukwaani kwenda maliwato,

Lisu unamlaza mtu na viatu kitandani
 
Back
Top Bottom