Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Mm binafsi kanifanya ni ichukie hiki chama mno
 
Thubutu yenu!! Yesu alisema mpende adui yako na usilipe ubaya kwa ubaya. Ondoka na upotoshaji wako hapa.
Magufuli hafanyi maendeleo kwa pesa zake za mfukoni Bali kwa kodi zinazolipwa na watanzania wote kutoka pande zote za nchi hii.

Kwa iyo alilosema hapa sio sawa , ni ushetani na roho mbaya ya kiwango cha juu kabisa. Hapaswi hata kupewa udiwani kwa akili hizi sio tu uraisi.

Haya aliyoyasema naweka rai yasambazwe kwenye group zote za whatsup na Facebook watu wote wamuone huyu jamaa alivyo hadi vijjini ili watanzania tumnyime kura zetu kwa nguvu zote!!!!

Huyu jamaa ana roho mbaya naisi shetani anasubiri
 
Rejea aliyowaambia kilwa,jibu Ni kupiga chini.
Mbona majimbo ya ccm dodoma nayo yapo hoi
 
Halafu utashangaa hao watu wanamlisha kwa kodi ya jasho lao.
Ukweli JPM amewakosea wana Mara, Amemkosea Mungu pia.

Pesa anazojengea barabara, kuleta maji, umeme nk hazitoki mfukoni mwake. Ni kodi ya wana Mara na Watanzania wote.

HAKI HUINUA TAIFA

Ni wizi huo kuchukua Kodi zao then kuwanyima maendeleo
 
Hichi ni kuburi cha madaraka, unapoapa kuwa rais na kuwatumikia wananchi haya mambo hayana nafasi tena kuyatolea maamuzi binafsi kama ni hivyo kwanini uliwania urais wa kuongoza nchi? kama kuna mtu au kikundi cha watu walikutukana inahusiana wapi na wapi? inaonekana kabla ya kuwa rais hakupata mafunzo ya kuongoza nchi wala watu wake.

Kama madarakan alijiweka mwenyewe ndio anaweza kusema hivi
 
Kodi zetu kwake ni fedha yake binafsi ndiyo maana anawabagua wapigakura. Hajuwi na haheshimu misingi ya demokrasia.
 
Bunda wanalipa kodi ni pesa zao wenyewe iweje achukue pesa zao apeleke chato? Halimashauri inafanya nini? Pesa za walipa kodi zilete maendeleo kwa lazima, Maendeleo siyo Hisani ya CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM,
 
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM, maendeleo ni lazima siyo Ombi kwani ni matunda na jasho lawalipa kodi wa hapo Bunda.
 
Kuna shoti sehemu mfumo upelekwe india ukakaguliwe naona disaster siku za usoni
 
Lissu anaposhangiliwa kutukana viongozi wenzake (kinyume na mila, desturi na tamaduni zetu) mkadai kitendo hicho ni cha ujasiri wa kusema ukweli, vilevile haohao wakubali ukweli huo.

Kuna ushahidi kuwa Wabunge wa upinzani walikuwa wanasusia vikao vya bunge la bajeti na/au wanakataa kupitisha bajeti. Kwa nini wapewe fedha za maendeleo ya majimbo yao?

Kuna ushahidi, ambao unaendelea kutolewa kwenye kampeni za upinzani, kuwa CCM ina hoja za maendeleo ya vitu. Huko Bunda Mgombea Urais kupitia CCM kazungumzia hayo maendeleo ya vitu ambayo upinzani hatuki, ni sahihi kwake kusema upinzani ukichaguliwa maendeleo ya vitu hawatafanyiwa.
 
Namusipotuchagua tukashinda barabara hatuwajengei, no Kura no lami
 
Pesa za walipa kodi wa eneo husika ilete maendeleo kwa lazima siyo Ombi, maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM
Changeni za kwenye mjenge, no Kura no lami
 
Rais gani yupo partial kiasi hiki, hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, sijui alifikaje hapo alipofika.
Tatazo la CCM ya kishetani imejaza washauri vituko, ebu fikiria mfano cyprian Musiba, Le mutuz na polepole ni washauri wa CCM unategemea nini hapo? huu ujinga wa CCM ndiyo umedumaza maendeleo kwa miaka yote.
 
Namusipotuchagua tukashinda barabara hatuwajengei, no Kura no lami
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi wa Eneo husika acheni ushetani wenu wa kishamba tokea kolomije na chato.
 
Ndie rais alie apa kuilinda katiba. Ana onyesha sura yake. Kwamba ana wa kifuani na wa mgongoni. Ni kiongozi wa Ccm huyu..
Wajameni, wazee wa miundombinu sasa weshakaukiwa hoja kabisa.
Bado kidogo tu kudondoka kabisa. CHADEMA inauonyesha ulimwengu kuwa kubanwa na kunyanyaswa kwa miaka mitano kumezidi kuiimarishaa. Mzee Baba amekabwa kisawasawa
 
Mimi binafsi sijawai muelewa jiwe, nashangaa baadhi ya watz wenzangu wanapomsifia huyu mtu
 
Tatazo la CCM ya kishetani imejaza washauri vituko, ebu fikiria mfano cyprian Musiba, Le mutuz na polepole ni washauri wa CCM unategemea nini hapo? huu ujinga wa CCM ndiyo umedumaza maendeleo kwa miaka yote.
Umemsahau Propesa Kabundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…