Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Kuna wapuuzi wanamtetea utafikiri hizo pesa za maendeleo anatoa mfukoni kwake [emoji57][emoji849]
 
Magufuli awatishia wananchi baada ya kumkataa mgombea wa CCM live

Mwananchi anasikika akimlaumu mbunge wa CCM kuwa akipewa kura huwa haonekani.. naye mbunge anarudisha lawama kwa Magufuli kuwa ali ahidi maji na hajatekeleza ahadi yake.. Magufuli anasema ataleta maji ila wamchagulie mbunge yule yule

katika video hiyo Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi

Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma

MY TAKE..
Huku issue ya watumishi, kule issue ya kujisingizia kubagua majimbo ya upinzani kumbe hata ya CCM ni choka mbaya.
 

Dawa ni kukataa huyu Magufuli pamoja na huyo mgombea ubunge maana wote ni wameshindwa kutekeleza ahadi walizozitoa kwa wananchi.
 
Things Fall Apart" By Chinua Achebe
 
Umeongea uongo
 
Ila ile ni fedheha kubwa kwa kiongozi wa nchi, wananchi tujirekebishe mnampa msongo wa mawazo kiongozi Mkuu wa nchi, namna ile haifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…