Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Huwa nawaza mama Janeth ni mvumilivu sana sana.
Chadema wengi hawana akili!

Hivi Magufuli toka aanze kusema hayo imepita miaka mingapi?

Maana kila mkoa anaopita huwa anasema hivyo, je keshafanya hayo?

Mnafikiri Magu ni kama yule mtu wenu kila muda amejaa jaziba na mihasira?
 
Kwa hiyo umeandika easy hii yote kujibu hilo tu?

Ni mara ya kwanza magu kusema hivyo? Je keshaoa wangapi hadi sasa?
 
Huyu mzee nahisi kuna kitu anakimiss kwenye mambo yetu yale ya Sita kwa sita. Au hapati chakula cha usiku nini?

Mbona anazungumzia sana habari za mambo hayo, wanasaikolojia tusaidieni!
Sasa toka aanze kuzungumza keshatekeleza?

Unafikiri kama anania hiyo atakuja kutamka hadharani namna hiyo tena kila mkoa anaopita anaahidi kuoa mke wa mkoa huo?

Mbona mambo mengine ni madogo sana ila tumekomaa nayo tu?
 
Wakati mwingine kuna umuhimu wa hiki chama kuandaa watu wake kwa nafasi zake mbalimbali, badala tu ya kuwasukumizia ndani kama ilivyotokea 2015.
Na msukumizwa ndani ndio kiongozi wao
 
Wakati mwingine kuna umuhimu wa hiki chama kuandaa watu wake kwa nafasi zake mbalimbali, badala tu ya kuwasukumizia ndani kama ilivyotokea 2015.
Na msukumizwa ndani ndio kiongozi wao
 
Kwa hiyo atasilimu? Aache kwanza kula kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…