Huyu ni mfa maji, anatapatapa baada ya kuona watu wamechefukwa na CCMHuyu sie yule aliyewapiga za uso wafanyakazi siku ya Mei Mosi kwa miaka mitano mfululizo?
Sitashangaa kabla kampeni kuisha nikiskia waliochishwa kazi kwa vyeti feki watarudishwa makazini na kulipwa mishahara yao ya miezi yote waliokaa nje ya ajira.
Wewe unaozungumzia mfumko gani? Kitu gani hakijapanda bei tanga aingie madarakani zaidi ya miaka 5 iliyopita.Watanzania wameamka, wanaelewa sasa, enzi zinabadilika. Msitumie mbinu ya 2015 mkadhani sasa itawaokoa. Mungu awarehemu huko muendako.Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Kura kwa Lisu huo ndio ukweliWafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.
October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sasa ndugu,Magufuli ameshindwa vipi kuwadhibiti hao mafisadi?.Au wana nguvu kuliko serikali?Mshezi wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Cement kutoka 10,000/= 2015 mpaka 16,500/= 2020 nfo udhibii wa mfumuko wa bei huo?Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Sasa ndugu,Magufuli ameshindwa vipi kuwadhibiti hao mafisadi?.Au wana nguvu kuliko serikali?
Kuna mawaziri wanatoka sehemu mbovu!
Kumbe ndani ya Sirikalii hii mafisadi yapo?genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Kuna mawaziri wanatoka sehemu mbovu!
Kumbe ndani ya Sirikalii hii mafisadi yapo?