Nijitambueje jomba embu nieleze..dakika za lala salama hizi braza..unakumbuka shuka kumekucha...mbona...it's too late...jipangeni kuanzia 2030 na kuendelea, nawashauri nendeni mkamalizane na Jenerari Membe kwanza tunataka kujua Nani zaidi..sisi wananchi tumeshajipanga kwenda kutumia kichinjio chetu tarehe 28oktbWewe ndugu yake na Rashidi!, acha kushikiwa akili, jitambue. View attachment 1606296
Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezoNyambaafu mkubwa kadhulumu maslahi ya wafanyakazi katia kibindoni 1.5tr halafu anajifanya mcha mungu, mcha mungu gani mbaguzi wa dini na mkabila.
Kisesa mlinipigia kura msivunjiwe, kimara mbezi bomoa.
Eti binadamu gani kama sii aina ya shetani
Mkuu ulipata Incliment? Au unamaanisha Increment?Mimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata.
Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM anaakili kuliko kikosi chote cha Mihemko Forum
Unajenga uwanja wa mabilioni ya fedha huku watu wa hilo eneo miaka yote hawana maji si upumbavu huo.
Umeandika ugolo mtupu, mbona sukari hadi leo haijapungua bei?
mhhh mafisadi wapo kumbe?kwa jpm!aiseeeMshezi wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Hiyo avatar ni wewe?magufuli mitano tena
ndio mitano tenaHiyo avatar ni wewe?
mhhh mafisadi wapo kumbe?kwa jpm!aiseee
Rudisha avatar picha yako ya awaliHiyo kitu haiko kwenye Ilani ya chama kama zile million 50 za Kila kijiji na laptop kwa Kila mwalimu. Pesa iliyopo iko commited kwenye miradi mikubwa.... Hivyo wa kubanwa ni wafanyakazi. Akiongeza mishahara tunakwama SGR.
Avatar yangu ni hiyo toka 2010. Utakuwa umenichanganya.Rudisha avatar picha yako ya awali
Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Sukari 3000Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Unajua kuwa kuna kitu kisheria kinaitwa "statutory annual salary increament?"
Unajua neno "statutory" kisheria lina maana gani? Sasa kama hujui, tukuambie leo kuwa Maana yake ni "not optional"
Hatuongelei kuongeza mishahara kwa maana ile unayoijua ya kuwa kima cha chini kimepanda kwa 20% au 30% nk kutegemea na hali ya uchumi. Siyo hiyo.
Wafanyakazi wanataka nyongeza ya mishahara iliyo ktk mikataba yao ya sheria ya utumishi waliyoingia na mwajiri siku wanaanza kazi yao..
Hata hizo Magufuli na CCM yake amepora toka kwa wafanyakazi. Hii si haki na ni mbaya sana..!!
Sasa kiongozi tena Rais wa nchi custodian number one wa sheria na katiba ya nchi ambaye haiheshimu katiba na sheria za nchi alizoapa kuzilinda anaweza kuaminika kwa namna gani na kwa nani??