Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Wewe ndugu yake na Rashidi!, acha kushikiwa akili, jitambue. View attachment 1606296
Nijitambueje jomba embu nieleze..dakika za lala salama hizi braza..unakumbuka shuka kumekucha...mbona...it's too late...jipangeni kuanzia 2030 na kuendelea, nawashauri nendeni mkamalizane na Jenerari Membe kwanza tunataka kujua Nani zaidi..sisi wananchi tumeshajipanga kwenda kutumia kichinjio chetu tarehe 28oktb
 
Nyambaafu mkubwa kadhulumu maslahi ya wafanyakazi katia kibindoni 1.5tr halafu anajifanya mcha mungu, mcha mungu gani mbaguzi wa dini na mkabila.
Kisesa mlinipigia kura msivunjiwe, kimara mbezi bomoa.
Eti binadamu gani kama sii aina ya shetani
Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezo
 
Mimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata.
Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM anaakili kuliko kikosi chote cha Mihemko Forum
Mkuu ulipata Incliment? Au unamaanisha Increment?

Kama ni increment katika awamu hii kwa walio watumishi wengi wa umma hiajafanyika kwa ufasaha kama mikataba yao ya kazi inavyoelekeza.
 
Unajenga uwanja wa mabilioni ya fedha huku watu wa hilo eneo miaka yote hawana maji si upumbavu huo.

Uwanja huu ukileta watalii watu watapata ajira na serikali itapata kodi na kodi hiyo italeta maji, umeme, hospitali, italeta madawa, itaajiri madaktari na wauguzi, itajenga shule, madawati etc. Huduma za serikali ni endelevu na gharama zake ni endelevu. Inatakiwa miradi strategia.

Sasa cdm wakina Mbowe na Lema wamemshikia akili Lissu anafikiri utalii wanatakiwa wafaidi watu wa Kaskazini tu.
 
Umeandika ugolo mtupu, mbona sukari hadi leo haijapungua bei?

Sukari ni suala la mida tu imeshashughulikiwa kwa njia tofauti ya akili kubwa. Ni ngumu akili ndogo kuliona hili. La sukari halina tofauti na korosho muda utaongea. Kampeni za Mh PM Majaliwa leo huku kusini Ndanda umebahatika kuziona?
 
Vp amemaliza kununua ndege kujenga bwawa reli iliniamini kuwa anaongeza mishahara vip kuhusu ajira mpya kurudisha maliza wavuvi alizoharibu nakuziteka
 
Mshezi wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
mhhh mafisadi wapo kumbe?kwa jpm!aiseee
 
Hiyo kitu haiko kwenye Ilani ya chama kama zile million 50 za Kila kijiji na laptop kwa Kila mwalimu. Pesa iliyopo iko commited kwenye miradi mikubwa.... Hivyo wa kubanwa ni wafanyakazi. Akiongeza mishahara tunakwama SGR.
Rudisha avatar picha yako ya awali
 
Huku ndio kutapa tapa. Tunamsoma vizuri. Huenda wakati wa yeye kuisoma namba umefika.
 
Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.

Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.

Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.

Unajua kuwa kuna kitu kisheria kinaitwa "statutory annual salary increament?"

Unajua neno "statutory" kisheria lina maana gani? Sasa kama hujui, tukuambie leo kuwa Maana yake ni "not optional"

Hatuongelei kuongeza mishahara kwa maana ile unayoijua ya kuwa kima cha chini kimepanda kwa 20% au 30% nk kutegemea na hali ya uchumi. Siyo hiyo.

Wafanyakazi wanataka nyongeza ya mishahara iliyo ktk mikataba yao ya sheria ya utumishi waliyoingia na mwajiri siku wanaanza kazi yao..

Hata hizo Magufuli na CCM yake amepora toka kwa wafanyakazi. Hii si haki na ni mbaya sana..!!

Sasa kiongozi tena Rais wa nchi custodian number one wa sheria na katiba ya nchi ambaye haiheshimu katiba na sheria za nchi alizoapa kuzilinda anaweza kuaminika kwa namna gani na kwa nani??
 
Sukari 3000
Cement 22000
 
Malimbikizo ya stahiki zao haya kuwa statuory yalikuwa ni kwa hisani tu? Mlifanya nini kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom