Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Na ndio maana hajavaa sare za CCM. Ndio wajue mzee yupo kazini anyatimeMagu ni Raisi siyo waziri, anatoa maagizo popote pale ndo maana anatembea na yule mpambe wake mwanajeshi, ni icon ya nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana hajavaa sare za CCM. Ndio wajue mzee yupo kazini anyatimeMagu ni Raisi siyo waziri, anatoa maagizo popote pale ndo maana anatembea na yule mpambe wake mwanajeshi, ni icon ya nchi!
Hujanijibu swali langu! Nimekuuliza kama kulikuwa na haja ya kujenga hiyo barabara na alikuwa anajali sana alikuwa wapi mda wote na Mwaka wa fedha umeanza july hadi atoe iyo amri na hayo maagizo leo siku ya kampeni????Nimekuelewa vizuri sana, nimekujibu kizembe kama wewe ulivyouliza kizembe. Mtu mjinga akiuliza swali la kijinga kwa mtu mwenye akili ukimjibu kistaarabu utaonekana wewe mjinga.
Sasa nakujibu alipokuwa kwa akili.
Bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 inaisha lini?
Utekelezaji wa Ilani ya CCM mwakak 2015 hadi 2020 unaisha lini?
Ukishajibu hayo maswali ndio utajua alipokuwa.
Unampangia pa kutolea order? Order ikitolewa mezani ndio inakuwa order?... tangu lini order ya peleka fedha pale; peleka kule hata kama ni utekelezaji wa bajeti ikatolewa kwenye majukwaa ya kampeni?
Kama yuko kazini siku zote alikuwa wapi kutoa maagizo hayo tangu mwezi wa 7 Mwaka wa fedha ulipoanza???Raisi kila siku yuko kazini, hili halihitaji kuwa na PhD kulijua!
Mkuu hawawezi kukuelewa hawa chandimu! Kwa nyongeza hata Lisu akiwa Raisi (ila haiwezekani kabisa) ataendelea kutekeleza bajeti ya serikali ya ccm mpaka tar 31 June 2021!Nimekuelewa vizuri sana, nimekujibu kizembe kama wewe ulivyouliza kizembe. Mtu mjinga akiuliza swali la kijinga kwa mtu mwenye akili ukimjibu kistaarabu utaonekana wewe mjinga.
Sasa nakujibu alipokuwa kwa akili.
Bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 inaisha lini?
Utekelezaji wa Ilani ya CCM mwakak 2015 hadi 2020 unaisha lini?
Ukishajibu hayo maswali ndio utajua alipokuwa.
Ikiwa uelewa wako ni mdogo au unajibu lako jaza hilo hilo ujipe tick.Hujanijibu swali langu! Nimekuuliza kama kulikuwa na haja ya kujenga hiyo barabara na alikuwa anajali sana alikuwa wapi mda wote na Mwaka wa fedha umeanza july hadi atoe iyo amri na hayo maagizo leo siku ya kampeni????
Aliyewapa wazo la kuunga juhudi Ni wazo la kishenzi Sana inatakiwa wamkamate awarudishie pesa yako,hili limekosa tija kabisa kwao halikuzaa matunda kabisa.Zaidi limechochea hasira pande zote kwa ccm na upinzani,cheki waunga juhudi kina katambi,waitara ,mollel walivyosusiwa kampeni na maccm wenzao,Na bado kazi yao ilikua kumsifia tuu oooooo 2020 hakuna kampeni oooooo CDM tushaizika eti oooooooo wanakuja kuunga mkono hoja piga spana mpk wanataharuki
mungu baali labdaMagufuli ametumwa na Mungu kuja kutukomboa kama Musa alivyotumwa kwa wana wa Israel
Watanzania ni lazima wajifunze kuhusu kufanya uamuzi sahihi wa kumchagua kiongozi wa nchi aliye muadilifu na mwenye kuzingatia maadili. Haiwezekani ndani ya kipindi cha kampeni za uchaguzi zikiwa bado zinaendelea, mgombea kwa makusudi hataki kutofautisha kati ya majukumu yake ya uraisi na yale ya kupeperusha bendera ya chama chake.Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad mkoa wa Singida mbele ya hadhara ya kampeni. Mazungumzo yao yalikuwa hivi.
=======
Dkt Magufuli: Ahadi yangu ya mjini ilikuwa kilomita 8 sasa ntatengeneza 10 pamoja na hii barabara niliyokuja nayo, nasema kwa dhati, sisemi kwa sababu ya kura. Nasema kwa sababu hii ni haki yenu.
Huu mji umependeza sana, mmejenga nyumba nzuri sana. Haiwezekani nyumba nzuri nzuri ziwe zinaendelea kupigwa mavumbi, nasema hapana kabisa lazima tutengeneze lami na mimi lazima niwaahidi ukweli. Mheshimiwa mkuu wa mkoa sijui yuko wapi? Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Singida hili ndio liwe la kwanza kushughulikiwa, asante sana.
Na regional manager wa Tanroads yupo au msaidizi wake? Njoo hapa, chukua mic
Dkt. Magufuli: Regional manager
Regional manager: Ndio mheshimiwa
Dkt. Magufuli: Pamoja na wa Tarura, nataka mkae hapa, kuanzia leo sisi tukiondoka.
Regional manager: Ndio mheshimiwa
Dkt. Magufuli: Mchague baadhi ya barabara zitakazotosha kwenye KM 10(Regional manager: Ndio mheshimiwa Rais).
Dkt Magufuli: Tangaza tenda mwezi huu, pesa usiulize, mimi nitatoa pesa kwa ajili ya kutengeza barabara hii. Itigi Oyee, (Wananchi: Oyee kwa shangwe). Kwa hiyo mjulishe chief executive wa Tanroard, mjulishe na waziri wa ujenzi, tunaanza mara moja, wala tusichelewe na hii wala sio hongo, mimi bado ni Rais kwa hiyo natoa maagizo. Tangaza tenda ya barabara za mjini Itigi kilomita 10, zitengenezwe kwa kiwango cha lami.
Regional manager: Ndio mheshimiwa Rais.
Dkt. Magufuli alifunga suala hilo na kuendelea na kampeni kwa kuelezea ubaya wa kugawa nchi katika majimbo na kuwataka wana-Itigi wawafundishe kwa kuwanyima kura wanaotaka kufanya hivyo.
Utakuwa wakati wa kulimia meno kama alivyoahidiMagufuli akishinda,hiyo miaka 5 ijayo tutalia na kusaga meno
Tutaishi vibaya zaidi ya mashetani.Sio 'kama', itakuwa ,zaidi.Utakuwa wakati wa kulimia meno kama alivyoahidi
Mkuu unataka haya maswali yako yajibiwe na huyu uliyemquote au tume ya uchaguzi na serikali waliotunga kanuni na sheria ya uchaguzi? Je unadhani waliotunga sheria na kanuni za uchaguzi unadhani hawakujua kuwa wakati wa kampeni kuna mtu atakuwa bado rais? Kama sasa hajui hizi sheria na kanuni zilitungwa ili mtu asitumie nafasi yake kuhararisha rushwa ili kugiribu wapiga kura.This incompetent individual inajificha kwenye urais ili kujustify uvunjaji wa sheria, kanuni na taratibuNimekuelewa vizuri sana, nimekujibu kizembe kama wewe ulivyouliza kizembe. Mtu mjinga akiuliza swali la kijinga kwa mtu mwenye akili ukimjibu kistaarabu utaonekana wewe mjinga.
Sasa nakujibu alipokuwa kwa akili.
Bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 inaisha lini?
Utekelezaji wa Ilani ya CCM mwakak 2015 hadi 2020 unaisha lini?
Ukishajibu hayo maswali ndio utajua alipokuwa.
Acha kutetea mjinga,kazi za rais ni kuidhinisha pesa za ujenzi wa barabara au kupiga simu Tanroad wewe ni hovyo kama unae mtetea alivyo wa hovyo piaKwa hiyo unataka kazi za uraisi zisimame hadi uchaguzi upite? Katiba inamruhusu kuendelea na majukumu yake ya kiraisi hadi mpya atakapoapishwa
Sikiliza hii!Sio rushwa ni utekelezaji wa bajeti ya mwaka huu nliyopitishwa na bunge la june mwaka huu
Utekelezaji wa bajeti huwa hausimami kwa sababu ya uchaguzi
Hata bajeti ya tume ya mwaka huu wanayotumia ni iliyoidhinishwa na bunge la June