Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Yeah, ameyasema hayo muda mfupi uliopita huku akisisitiza elimu itolewe juu ya suala hilo.

Ni katika mfululizo wa kujibu Tundu Lissu.

Nakumbuka kina Ally Hapi walijiapiza kuwa hawajajiandaa kushindwa kumaliza vitambulisho walivyopewa wawakabidhi wafanya biashara ndogo ndogo kwa malipo ya fedha halali shilingi elfu ishirini tu za kitanzania kwa mwaka.

My take!
Wakuu, kama tutakuwa serious kweli basi hili suala la vitambulisho vinavyolopiwa Tshs. 20000 ni wizi mtupu maana hiyo kodi haina draft yoyote kisheria! Yani hata ukienda mahakamani au bungeni hayo malipo hayatambuliki kisheria! Huu ni wizi wa mchana kweupe.

Mbaya zaidi wala haijuilikani inakoenda, mahesabu yake, ukaguzi wa matumizi yake. Yani ni mambo ya hovyo hovyo tu ya uongozi wa ufalme.

Sijui Bunge la Ndugai tulililipa ili liifanyie nini nchi. Huyu Spika Mungu atakuja kumpa funzo maana hakuwahi kulinda hadhi ya bunge lake!
Mzee wetu siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwehuka
 
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.

''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa vitambulisho ili wanananchi hawa wenye biashara ndogondogo wasisumbuliwe''. Dkt John Magufuli, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM.

Aidha amewataka wasaidizi wake wakiwamo wakuu wa wilaya kuendelea kuzingatia maelekezo yake ni wafanyabiashara wa aina gani wanaohitajika kuwa na vitambulisho vya machinga.

Vitambulisho hivyo humwezesha mjasiriamali kufanya baishara bila kutozwa kodi na halmashauri kwa kipindi cha mwaka mzima jambo ambalo hutajwa kuwa linalenga kuwainua wafanyabiashara wa mitaji midogo.

''Tulianzisha vitambulisho hivi kwaajili ya kuwalinda wafanyabiashara wadogo wadogo baada ya kuona wanasumbuliwa na halmashauri, ukiwa na kitambulisho chako utafanya biashara mahali popote Tanzania, vitambulisho haviwezi vikatafutwa kwa bunduki, vitambulisho mtu anakata mwenyewe ni Sh 20000'' Dkt John Magufuli, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM.
TUANZIE HAPO KWENYE KUSUMBULIWA:: ENHEEEEEEE!! TUAMBIE VIZURI WASISUMBULIWE NA NANIII? HAO WANOSUMBUA WAMETUMWA NANANIII??
TUMESHAKUELEWA MEKO
 

Attachments

  • NI MURUNDI.mp4
    3.3 MB
download (2).jpeg
ona nipashe kipindi serikari inalazimisha ... Magazeti yanatumika
 
Yani huyu.. naona sifatilii tena habari zake, maana anatia hasira sana.
 
TUANZIE HAPO KWENYE KUSUMBULIWA:: ENHEEEEEEE!! TUAMBIE VIZURI WASISUMBULIWE NA NANIII? HAO WANOSUMBUA WAMETUMWA NANANIII??
TUMESHAKUELEWA MEKO
Kwa sauti ya yule mzee wa Kawe aliyemtight Gwajima.

Kwa kauli hii ya JPM ni dhahiri ameshapoteana. Kwenye siku 35 zilizobaki tutegemee kuskia mengi ya kustahajabisha.
 
Mleta mada ndio anajua hilo leo,

Chadema wanachelewa sana kuelewa mambo,

Jambo linafanyika awamu ya nne wanakuja lielewa awamu wa tano,

Hata anayoyafanya sasa Magufuli watakuja muelewa awamu ya sita, mifano ipo mingi ni jambo la kuwavumilia tu hawa wapinzani tulionao kwani wanachelewa kuelewa mambo.
Waongelee wapi kila aliyejaribu kuongea alikamatwa, hii miezi 2 ndio tumetoka jera
 
Back
Top Bottom