Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilala LisuLissu kawashika watu vibaya mara hii
Unahabari mpaka mda huu nchi zote zimegoma kuchapisha karatasi za kupigia kuraTena huyu koko lisu tutamuonesha kwanini uchaguzi huu umegharamiwa na serikali 1000000% hakuna wa kutupatia maelekezo fanyeni hivi wala vile amedanganywa huko kwamba kaanzishe vurugu naye ameamini ni mjinga hakuna wa kuingia nchi hii akamsaidia huyo mweu kupata kura .
mbaya zaidi ni kama ndo wanamwambia shusha nondo nyingineeeeeLissu kawashika watu vibaya mara hii
Mkiishiwa hoja mnabaki kushambulia watu binafsi.Yeye mwenyewe aonyeshe mfano wa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi aliyonayo kutokana na matamshi yake yanayoonyesha kuegemea CCM,matamshi ambayo yamesambaa katika mitandao ya kijamii.
Mlianza ninyi, barua kutoka kwa mabwana zenu zilikuwa za nini?Naona washaanza kumsaidia bwana yule kufanya kampeni.
hAHAHA hata membe mlimdanya na slogan ya TWENDE NA MEMBE, mzee wa watu anaishia kupata nyomi ya level ya uchaguzi wa mtendaji wa kijiji. Hata huyu asubiri kipigo chake hataamini, ccm hoyeeeeeMahela anautani na PENTAGON.
Lissu alisema uchaguzi huu ni wa kihistoria si mwepesi kama wengi tunavyozani.
Tl
Tutachapisha hapahapa kwani hujui nani atakayeumia tukizichapa hapa hapa nchini.Unahabari mpaka mda huu nchi zote zimegoma kuchapisha karatasi za kupigia kura
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna balaa lolote litakalomkuta liwake jua inyeshe mvua sisi ndio wataalam hapati hata kula M1Eti watu wa nje! Mjinga sana huyu!
Matusi ya JPM Hayasikii?
Huyu balaa litakalo mkuta akiharibu uchaguzi huu hatasahau hadi anaingia kaburini...
Huyu punguwani anaongelea sera zipi?Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Na kwamba watu hawatakubali haijaanza leo, watake wasitake watakaa tu.Mikwara mbuzi kama hio haijaanza leo na watu wanachanja mbuga tu.