Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Magufuli kawaagiza kuwa hataki kusikia akitajwa, kama kila kitu anasifiwa Magufuli, itakuwaje asishambuliwe yeye? Mbona hatuambiwi miradi imejengwa na sera?

Hakuna atakayefanya siasa kaa utashi wa rais. Hao wanaosema kila siku kuwa kuna mgombea kakimbilia Dubai, kwani wao ndio sera zao? Lisu piga hilo Goliathi mpaka lichanganyikiwe.
 
Ni yeye
IMG_20200915_200437.jpeg
 
Hakuna mgombea "serious" ambaye atafanya kampeni za uchaguzi jukwaani halafu asiiseme CCM na Magufuli..

Haipo, haipo, haipo hiyoooo...!!

Wewe Bw. Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC kama unataka kumsaidia mgombea wa CCM kupiga kampeni zake, ili kujibu hoja na makombora anayorushiwa, vua gwanda la "Ukurugenzi wa uchaguzi wa NEC", vaa mboga mboga panda jukwaani anza kumtetea bwana wako....!

Vinginevyo nyamaza kimya, unatia aibu. Kama unasimamia sheria kwelikweli, basi isimamie kwa haki. Mtendee kila mmoja haki. Anza na CCM wanavunja sheria vibaya sana...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Labda siyo uchaguzi !!. Kila siku kina Trump, Cameron , Uhuru wanakosolewa ije kuwa viongozi wa Ccm ??!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mahera aache mambo ya kitoto arudishe wagombea wa Chadema, mambo ya kupitisha wagombea wa CCM bila kupingwa na unawatishia wagombea wa Upinzani kuwashusha majukwaani ni dhahiri inaonyesha Tume haiko huru.

Lengo ni kuibeba CCM na Magufuli.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
unaona haya madubwasha ya tume ya uchaguzi yanataka kumtetea fisadi wa uwanja wa chato,hatukubali wacha apewe vidonge vyake
 
Lissu analindwa na teknolojia na majeshi yasiyoonekana kwa macho. Kama mauti tu iligwaya, isijekuwa vitisho uchwara kama hivi?
 
Huyo ni yule kada mtiifu wa jiwe, hana chochote hapo tume zaidi ya kuwanyenyekea ccm.
 
Vp yule aliyeamua kupiga kampeni yake kwa lugha ya Kisukuma?? Je kama alikuwa akiwatukana ama kuwadhalilisha wengine?? Je hilo kwa Tume ni sahihi?? Waliwahi kulitolea tamko au ufafanuzi??
 
•Lakini ni waongo na waache uongo… hata sasa unaweza kuja hapa jengo la Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, tuko kwenye kikao tunaendelea kupitia hizo rufaa•

•Waache kutusumbua, sasa wao wanapiga kelele tungetoa hizo rufaa haraka hata hao wabunge wao wasingerudi, waache uzandiki, upuuzi na uongo•View attachment 1570397
Huyo ni kada mtiifu, kama ni mechi ya simba na yanga Huyo refarii atokaye yanga kwa mfano
 
Back
Top Bottom