Hakiki vyanzo vyako upyaKwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.
Kwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.
Hakiki vyanzo vyako upya
Kutoka website ya ICC wameorodhesha nchi wanachama kutoka Afrika ambao wapo chini ya ICC pamoja na tarehe walizojaza huo mkataba. Sisi tuliingia 20 August 2002
Hapa nimekuwekea full View attachment 3487716
Kule hata wapeleke kina Katuga na DPP hawatoboiWanajaribu kujinasua kutoka ICC lakini ndiyo hivyo wamesahau kuwa hawakusoma ule mkataba neno kwa neno na uvivu wa kusoma sasa wamenasa si Nassoro Katuga wala Ofisi ya Wakili mkuu wa Tanzania inaweza kuwanasua kutoka katika ukatili walioufanya huku walitia saina mkataba wa Rome wa ICC The Hague
TOKA MAKTABA :
12 Machi 2025
Manila, Philippines
Mahakama ya Juu ya Philippines inakataa ombi dhidi ya Raisi wa zamani. Duterte kukamatwa | ANC
View: https://m.youtube.com/watch?v=APTIWcAyVU8
Mahakama ya Juu ya Ufilipino inakataa ombi lililotaka kuzuia kukamatwa kwa rais wa zamani Duterte..
Hata raia wa The Philippines hawakufungua kesi wenyewe ICC. Walipeleka ushahidi wao kwa ICC Prosecutor. Prosecutor aliposhawishika alichukua hatua stahiki.Dr. Malisa amefuata njia ya raia wa the Philippines waliomfuangulia kesi rais wao mstaafu.
Jamaa nyuso zao zimejaa haya. Chura Kiziwi alitaka hata kufunika uso wake kwa mkono!😁Anaongea tu hakijamlamba bado
Huo uamiri jeshi ni huku kwetu, kwa wenzetu kule ni mjumbe wa nyumba 10
Unafikiri kwanini waliswekwa kwenye coaster siku ile?
View attachment 3487673
Ccm walivyo kwasasa lazima Watamteka.Hata raia wa The Philippines hawakufungua kesi wenyewe ICC. Walipeleka ushahidi wao kwa ICC Prosecutor. Prosecutor aliposhawishika alichukua hatua stahiki.
Jamaa nyuso zao zimejaa haya. Chura Kiziwi alitaka hata kufunika uso wake kwa mkono!😁
Individual hawezi kufungua case. They can only submit "information" and ICC Prosecutor ndo ataamua kama Kuna case.Hivi individual anaweza kufungua kesi au kureport tu?
Na kwa mchango wake huo muhimu sana na wakati sahihi kabisa, utakumbukwa daima katika historia ya nchi hii.Kama ni kweli basi Mwenyezi Mungu amjalie afya na uzima tele huyo Dr. Malisa kwa kusimamia na kutetea haki za wananch kwa vitendo.
Whatever it may be, attention to what is happening here has been raised; and focus will be kept on what follows in the future especially as we approach October 29, and thereafter.Individual hawezi kufungua case. They can only submit "information" and ICC Prosecutor ndo ataamua kama Kuna case.
Icc jurisdiction ipo kwenye 1. Genocide 2. Crime against humanity 3. Crimes of aggression 4. War crimes.
Ukiangalia vizuri hapo ni kama Malisa hajawasiliana na lawyer wake.
Watu wameshikilia buyu la asali; halafu mtu kama wewe usiyejuwa lolote unakuja kujivimbisha humu!Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Safi sana naandaa ushahidi wa mauaji ya kibiti yaliyompa aijipi cheo cha juu wakati ni la saba tu na uwezo wake haujai hata bakuli la uji, nautuma siku chache zijazo! Nilikuwa huko wakati haya yanatokea na nilipoteza ndugu na jamaa wengi sana
Mambo yametimia, imebidi akimbilie huko
TOKA MAKTABA :
Mambo ni mengi : makala hii kwa wasomaji wafahamu sababu kibao za GenZ Madagascar kuona wanasalitiwa
Opinionista
We have a European citizen as head of SADC – and no one seems to care
By Nadia Gava
25 September 2025
On 17 August 2025, the 45th SADC Heads of State Summit and Government took place in Antananarivo, Madagascar. The summit elected Andry Rajoelina, President of Madagascar, as Chairperson of SADC. He’ll hold this rotating position for the next year, after which South Africa’s Cyril Ramaphosa will take over.
View attachment 3487695
Photo : Andry Rajoelina, President of Madagascar, and Chairperson of SADC.
Rajoelina’s appointment is significant because of one shocking fact all SADC heads of state seem to conveniently forget: he is a French citizen. To be clear, he doesn’t hold dual citizenship of France and Madagascar; he is solely a French citizen. To be even clearer, we currently have a European citizen at the helm of SADC. And no one seems to care.
According to Article 42 of the Malagasy Nationality Code, a Malagasy citizen who voluntarily acquires a foreign nationality loses their Malagasy citizenship.
In 2023, shortly before the Malagasy national elections, a media frenzy broke out when it was revealed that Rajoelina had obtained French citizenship as far back as 2014, a fact he wilfully concealed. Madagascar was a French colony from 1896 to 1960. READ MORE :