Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Irene alishawahi kuwa mkazi wa tmk mkuu?
 
Hivi yule Abba alikuwa mtangazaji akilishirikiana na mdada fulani alijulikana kama TK yupo wapi nowdays?
 
Hizo "Likes" ingekuwa ni Pesa zinaingia kwenye Account ingekuwa Poa sanaa. Si kila anaekuchekea na kukupa likes kafurahishwa nawe, wengine wanashangaa "U-bogus" wako hadi inawabidi watoe likes tuu!
 
Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ile
Ya Salama na Regina mwenyewe ndo nimeinyaka leo
Hataki uzee kabisa.. ukimkuta club utasema kabinti kuanzia kalivyo vaa mpaka mikogo
Hahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
 
Huu uzi, umenifumbua yale niliyokuwa nahisi na zile fununufununu duh, ndo maana watu wengine kuolewa town ni nadra sana, hadi atokeeee wa kuja ndo anauvagaa
Kwaiyo Mzee Machache ndio alichelewa kufika mjini na akauvagaa?
 
Hivi mtu unaandikaje "Fluently"??😁😁😁😁
 
Huyo binti Salama ana pepo la ajabu!

basi nako kamekula chumvi kimtindo kipindi iko unasoma kalikuwa na mishe gani zingine?
 
mi nilisikia Jacky alimwiba Mzee Mengi Kwa happiness Magese! Wanasema mzee alikuwa hataki mambo ya kujifichaficha, ila Happiness hakutaka watu wajue so Jacky akanyakua Mzee
Wakati madam akiwa na mengi, kulikuwepo na sintofahamu ,kelele kibao na yule Mke wa kwanza, ndio maana madam alikuwa hajazaa na mengi kwa sababu ya vurugu za familiya, sasa ka Jack kalikuwa ka shost ka madam, si kadangaji nako, kakakawa kanajisogeza, kumbuka madam ashachoka zile sekeseke.

Basi Jack akajisogeza na akafanikiwa.

Nb. Nimeongea jujuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…