stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Unamaanisha nini mkuu..Sasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubavu wa kumkomesha hana.
Yani mkewe anashare na salama kivipi[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini mkuu..Sasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubavu wa kumkomesha hana.
Kwa uelewa wangu,mke wa kinje pia ndo mke wa salamaUnamaanisha nini mkuu..
Yani mkewe anashare na salama kivipi[emoji3]
Chubby right?Mkuu unamkumbuka na Yule model mweusi Tii jina linaanzia F surnane I
Teh teh tehKinje alikua anategemea jina la baba + connection za wauza ngada, Mengi alikua 'Kipeme' standalone
Ukiuona nidipu....Limefungwa ngoja nitafute ufunguo
Irene alishawahi kuwa mkazi wa tmk mkuu?Kabisa Mange angetulia angekula mema ya nchi, Mange alifanya kazi Stanbic Bank, akatoka akaenda Dubai akapata kazi Bank huko huko Dubai, akafanya kazi mpka alipokuja kuacha Benki na kufanya kazi kampuni moja na baba Kenzo, mange ameharibika na mashauzi tu, na akiachwa ndio kichwa kinakuwa fyatu haswa maana anapenda sana ku show off bwana na magari mazuri.
Teh Teh Tehbasi chukua jukumu la kueleza ya awamu ya kwanza.
Hivi yule Abba alikuwa mtangazaji akilishirikiana na mdada fulani alijulikana kama TK yupo wapi nowdays?Mange ni born town wa ushuani ambaye alikuwa sana kwenye showbiz ya bongo haswa kutengeneza shows. Kingine alikuwa ana influence kwenye miss Tanzania na ndio maana Nancy Sumari na Wema sepetu ni product zake.
Kuwa kwake kwenye showbiz kulimpelekea ku hangout na mastar wengi wa enzi hizo na ndio maana hata baba wa mwanae ni Frank Koga (muuza sura wa kideo cha machozi by jide). Usisahau alikuwa katika kampani ya wadada classic kama mwamvita na ile blog yake ya U-turn ambayo ilikuwa maarufu kipindi cha blogs kabla ya hizi social medias.
Duuhh na mimi leo nimekuwa mdaku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo "Likes" ingekuwa ni Pesa zinaingia kwenye Account ingekuwa Poa sanaa. Si kila anaekuchekea na kukupa likes kafurahishwa nawe, wengine wanashangaa "U-bogus" wako hadi inawabidi watoe likes tuu!Rudi nyuma uone jinsi watu walivyopiga “likes” hoja zangu zidi yako!
Wewe hata like ya ngama hujapata [emoji14][emoji14]
Je hapo bogus atakuwa nani?
Mwana leo umevaba ile mbaya [emoji3][emoji3][emoji3]
Kiingereza chenyewe cha ngama, ukiambiwa uandike fluently hapo kwako itakuwa ni mtihani mkubwa sana!
Siku nyingine nakushauri unyooshe kidole kwanza kuuliza kupata ufafanuzi kabla ya kuanza kujichoresha !
Sina nia mbaya ya kukurudisha darasani !
Tena nakustahi !
Ya Salama na Regina mwenyewe ndo nimeinyaka leo
Hahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaaHataki uzee kabisa.. ukimkuta club utasema kabinti kuanzia kalivyo vaa mpaka mikogo
Kwaiyo Mzee Machache ndio alichelewa kufika mjini na akauvagaa?Huu uzi, umenifumbua yale niliyokuwa nahisi na zile fununufununu duh, ndo maana watu wengine kuolewa town ni nadra sana, hadi atokeeee wa kuja ndo anauvagaa
Hivi mtu unaandikaje "Fluently"??😁😁😁😁Rudi nyuma uone jinsi watu walivyopiga “likes” hoja zangu zidi yako!
Wewe hata like ya ngama hujapata [emoji14][emoji14]
Je hapo bogus atakuwa nani?
Mwana leo umevaba ile mbaya [emoji3][emoji3][emoji3]
Kiingereza chenyewe cha ngama, ukiambiwa uandike fluently hapo kwako itakuwa ni mtihani mkubwa sana!
Siku nyingine nakushauri unyooshe kidole kwanza kuuliza kupata ufafanuzi kabla ya kuanza kujichoresha !
Sina nia mbaya ya kukurudisha darasani !
Tena nakustahi !
Be blessed
Teh tehWabeshi utawajua tu!
Huyo binti Salama ana pepo la ajabu!Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ileHahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaiyo Mzee Machache ndio alichelewa kufika mjini na akauvagaa?
Wacha bana.....alimweka hata mwl nyerere mfukoni?Awamu ya kwanza na ya pili hata ya tatu alikua Prince wa Dar untouchable
Wakati madam akiwa na mengi, kulikuwepo na sintofahamu ,kelele kibao na yule Mke wa kwanza, ndio maana madam alikuwa hajazaa na mengi kwa sababu ya vurugu za familiya, sasa ka Jack kalikuwa ka shost ka madam, si kadangaji nako, kakakawa kanajisogeza, kumbuka madam ashachoka zile sekeseke.mi nilisikia Jacky alimwiba Mzee Mengi Kwa happiness Magese! Wanasema mzee alikuwa hataki mambo ya kujifichaficha, ila Happiness hakutaka watu wajue so Jacky akanyakua Mzee