Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kabisa Mange angetulia angekula mema ya nchi, Mange alifanya kazi Stanbic Bank, akatoka akaenda Dubai akapata kazi Bank huko huko Dubai, akafanya kazi mpka alipokuja kuacha Benki na kufanya kazi kampuni moja na baba Kenzo, mange ameharibika na mashauzi tu, na akiachwa ndio kichwa kinakuwa fyatu haswa maana anapenda sana ku show off bwana na magari mazuri.
Irene alishawahi kuwa mkazi wa tmk mkuu?
 
Mange ni born town wa ushuani ambaye alikuwa sana kwenye showbiz ya bongo haswa kutengeneza shows. Kingine alikuwa ana influence kwenye miss Tanzania na ndio maana Nancy Sumari na Wema sepetu ni product zake.
Kuwa kwake kwenye showbiz kulimpelekea ku hangout na mastar wengi wa enzi hizo na ndio maana hata baba wa mwanae ni Frank Koga (muuza sura wa kideo cha machozi by jide). Usisahau alikuwa katika kampani ya wadada classic kama mwamvita na ile blog yake ya U-turn ambayo ilikuwa maarufu kipindi cha blogs kabla ya hizi social medias.

Duuhh na mimi leo nimekuwa mdaku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi yule Abba alikuwa mtangazaji akilishirikiana na mdada fulani alijulikana kama TK yupo wapi nowdays?
 
Rudi nyuma uone jinsi watu walivyopiga “likes” hoja zangu zidi yako!

Wewe hata like ya ngama hujapata [emoji14][emoji14]

Je hapo bogus atakuwa nani?

Mwana leo umevaba ile mbaya [emoji3][emoji3][emoji3]

Kiingereza chenyewe cha ngama, ukiambiwa uandike fluently hapo kwako itakuwa ni mtihani mkubwa sana!

Siku nyingine nakushauri unyooshe kidole kwanza kuuliza kupata ufafanuzi kabla ya kuanza kujichoresha !
Sina nia mbaya ya kukurudisha darasani !

Tena nakustahi !
Hizo "Likes" ingekuwa ni Pesa zinaingia kwenye Account ingekuwa Poa sanaa. Si kila anaekuchekea na kukupa likes kafurahishwa nawe, wengine wanashangaa "U-bogus" wako hadi inawabidi watoe likes tuu!
 
Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ile
Ya Salama na Regina mwenyewe ndo nimeinyaka leo
Hataki uzee kabisa.. ukimkuta club utasema kabinti kuanzia kalivyo vaa mpaka mikogo
Hahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
 
Huu uzi, umenifumbua yale niliyokuwa nahisi na zile fununufununu duh, ndo maana watu wengine kuolewa town ni nadra sana, hadi atokeeee wa kuja ndo anauvagaa
Kwaiyo Mzee Machache ndio alichelewa kufika mjini na akauvagaa?
 
Rudi nyuma uone jinsi watu walivyopiga “likes” hoja zangu zidi yako!

Wewe hata like ya ngama hujapata [emoji14][emoji14]

Je hapo bogus atakuwa nani?

Mwana leo umevaba ile mbaya [emoji3][emoji3][emoji3]

Kiingereza chenyewe cha ngama, ukiambiwa uandike fluently hapo kwako itakuwa ni mtihani mkubwa sana!

Siku nyingine nakushauri unyooshe kidole kwanza kuuliza kupata ufafanuzi kabla ya kuanza kujichoresha !
Sina nia mbaya ya kukurudisha darasani !

Tena nakustahi !
Hivi mtu unaandikaje "Fluently"??😁😁😁😁
 
Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ileHahaaa forever young duuhhh!!![emoji56][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda club jamani chaaa
Huyo binti Salama ana pepo la ajabu!

basi nako kamekula chumvi kimtindo kipindi iko unasoma kalikuwa na mishe gani zingine?
 
mi nilisikia Jacky alimwiba Mzee Mengi Kwa happiness Magese! Wanasema mzee alikuwa hataki mambo ya kujifichaficha, ila Happiness hakutaka watu wajue so Jacky akanyakua Mzee
Wakati madam akiwa na mengi, kulikuwepo na sintofahamu ,kelele kibao na yule Mke wa kwanza, ndio maana madam alikuwa hajazaa na mengi kwa sababu ya vurugu za familiya, sasa ka Jack kalikuwa ka shost ka madam, si kadangaji nako, kakakawa kanajisogeza, kumbuka madam ashachoka zile sekeseke.

Basi Jack akajisogeza na akafanikiwa.

Nb. Nimeongea jujuu.
 
Back
Top Bottom