Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Nimestuka maana angeniita mtu mwingine nisingejali ila sio wewe hahahha,
episod za tamthilia za bongo ni zinakuaga tam jamani
Tumemaliza ya Nandy na Ruge, mala Mengina Jacky, Mala Gwajima sasa hatuna hata muda na Shamimu na mumewe
Shamim kabadili akaunti ya IG nafikiri kampa mtu aindeleze inaitwa 8020medialtd sasa hivi
 
Ni kupunguza uwezo wa mfumo kubeba chakula kingi, absorptive surface ya utumbo wenyewe na pia transit time ya chakula katika mwili. Kwa hiyo unakuwa haujipi calories nyingi katika mwili.
Kitabibu hii kukatwa utumbo imekaaje daktari? siku hizi haka katabia kanashika mzizi bongo. kwanza ni sehemu gani ya utumbo wanakataga? Au wanakatwaga tu appendix wakifika mtaani wanatuambia wamekata utumbo......Hahahahaha!
 
Kuhusu hili la cannabis sativa, anzisheni uzi mwingine.
 

Shamim ndo nani naomba kufahamu vzr...
 
Mkuu wewe ushawahi kula kitu?
Kama hujawahi unaongea nini na kama uliwahi ni bora ulivyoacha mana wewe haikufai na huiwezi kwa kichwa chako hiki.
Bhange ni starehe na hazingui mtu.
 
Asanteni sana wadau mnaoendelea kushusha nondo kwenye uzi huu.

Mmeupa uhai sana.

Sky shemeji yangu umekuwa engine hapa. Your contribution is appreciated!
 
Jack alikuwa rafiki Wa madam Rita, baada ya madamu kutofautiana na mengi basi jack nae kapenya.

N.b kitu ambacho sitosahau mengi alikuwa mwanaume wa kwanza kwenda karagwe mulongo na helicopter kwa ajili ya madam.
Na mama mkwe alimpatia pickup kama ya Coca-Cola mpya! Sorry nami nakuwa mbea na ushamba wangu
 
Mkuu acha kujibizana ha huyu mtu, hajuhi chichote kuhusu bangi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…