Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Shamim kabadili akaunti ya IG nafikiri kampa mtu aindeleze inaitwa 8020medialtd sasa hiviNimestuka maana angeniita mtu mwingine nisingejali ila sio wewe hahahha,
episod za tamthilia za bongo ni zinakuaga tam jamani
Tumemaliza ya Nandy na Ruge, mala Mengina Jacky, Mala Gwajima sasa hatuna hata muda na Shamimu na mumewe