comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Mara nyingi bigboss wa usalama sio lazima awe anatokana na wanausalama,wanaomenyeka ni kuanzia madeputy,hao ndo lazima awe anajua na amesomea hasa hiyo kazi,
Director huwa ni uteuzi wa
kisiasa zaidi kama sikosei
Watu wameishika tu hiyo computer.
Mtu anaweza kupata PhD ya kusafisha vumbi computer and accessories.

Condoleeza Rice aliwahi kuwa mshauri wa mambo ya usalama wa Rais wa marekani (Kipindi cha kwanza cha Bush mdogo) ilhali hajawahi kuwa mtu wa ujasusi au mtu aliyepitia jeshii...Kilichompa kiki sana ni uelewa wake mkubwa sana wa mambo ya soviet
Mkuu uko sahihi.Kuna kitu watu hawajui kuhusu usalama wa Taifa.Usalama WA TAIFA SI KAZI TU YA IDARA ya Usalama wa Taifa ni ya kila mwananchi.Condoleeze Rice SI TU aliijua tu Urusi lakini aliijua ndani nje kupitia raisi
Gorbachev wa Urusi (ALIKUWA hawara yake???!!!!!)
Condoleeze Rice alicheza karata zake vizuri kupitia Raisi Gorbachev kwa pamoja
wakahakikisha adui mkubwa wa Marekani Urusi inasambaratika.Kazi aliyofanya huyo mama ilikuwa kubwa na nzito kuliko kazi iliyowahi kufanywa na jasusi yeyote
aliyebobea marekani.
teh teh naona tusi limekuwa black listedd na vinyotaaa..ungeliwekea nukta kila baada ya herufiii ili limpate sawa sawa**** we
Mkuu uko sahihi.Kuna kitu watu hawajui kuhusu usalama wa Taifa.Usalama WA TAIFA SI KAZI TU YA IDARA ya Usalama wa Taifa ni ya kila mwananchi.Condoleeze Rice SI TU aliijua tu Urusi lakini aliijua ndani nje kupitia raisi
Gorbachev wa Urusi (ALIKUWA hawara yake???!!!!!)
Condoleeze Rice alicheza karata zake vizuri kupitia Raisi Gorbachev kwa pamoja
wakahakikisha adui mkubwa wa Marekani Urusi inasambaratika.Kazi aliyofanya huyo mama ilikuwa kubwa na nzito kuliko kazi iliyowahi kufanywa na jasusi yeyote
aliyebobea marekani.
teh teh naona tusi limekuwa black listedd na vinyotaaa..ungeliwekea nukta kila baada ya herufiii ili limpate sawa sawa
hawana undugu..Hivi huyo mama Condolezza Rice a.ka "Condi" ana undugu na yule bi Suzzane Rice ambae ni balozi wa Marekani katika UN?
hawana undugu..
Msomi mzuri tena IT specialist!!! Tunashukuru Mungu kwa Rais kuitambua fani hii ya utaalamu(ICT). Kumbu aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani (honorable Msuya) aliipiga fita miaka ya(in late 60's) sitini!msomi mzuri