Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Mara nyingi bigboss wa usalama sio lazima awe anatokana na wanausalama,wanaomenyeka ni kuanzia madeputy,hao ndo lazima awe anajua na amesomea hasa hiyo kazi,
Director huwa ni uteuzi wa
kisiasa zaidi kama sikosei

Hahahaaa unaonekana ni mjuzi wa hayo mambo mkuu kumbe!
 
Condoleeza Rice aliwahi kuwa mshauri wa mambo ya usalama wa Rais wa marekani (Kipindi cha kwanza cha Bush mdogo) ilhali hajawahi kuwa mtu wa ujasusi au mtu aliyepitia jeshii...Kilichompa kiki sana ni uelewa wake mkubwa sana wa mambo ya soviet

Mkuu uko sahihi.Kuna kitu watu hawajui kuhusu usalama wa Taifa.Usalama WA TAIFA SI KAZI TU YA IDARA ya Usalama wa Taifa ni ya kila mwananchi.Condoleeze Rice SI TU aliijua tu Urusi lakini aliijua ndani nje kupitia raisi Gorbachev wa Urusi (ALIKUWA hawara yake???!!!!!)

Condoleeze Rice alicheza karata zake vizuri kupitia Raisi Gorbachev kwa pamoja wakahakikisha adui mkubwa wa Marekani Urusi inasambaratika.Kazi aliyofanya huyo mama ilikuwa kubwa na nzito kuliko kazi iliyowahi kufanywa na jasusi yeyote aliyebobea marekani.
 
Mkuu uko sahihi.Kuna kitu watu hawajui kuhusu usalama wa Taifa.Usalama WA TAIFA SI KAZI TU YA IDARA ya Usalama wa Taifa ni ya kila mwananchi.Condoleeze Rice SI TU aliijua tu Urusi lakini aliijua ndani nje kupitia raisi
Gorbachev wa Urusi (ALIKUWA hawara yake???!!!!!)

Condoleeze Rice alicheza karata zake vizuri kupitia Raisi Gorbachev kwa pamoja
wakahakikisha adui mkubwa wa Marekani Urusi inasambaratika.Kazi aliyofanya huyo mama ilikuwa kubwa na nzito kuliko kazi iliyowahi kufanywa na jasusi yeyote
aliyebobea marekani.

Kila mwananchi ana dhamana na usalama nchi yake hivyo basi kama kuna la kutia shaka lipelekwe sehemu husika kama ni polisi au popote kuanzia balozi wa nyumba kumi, (mwenyekiti wa serikali ya mtaa), nk
 
Mkuu uko sahihi.Kuna kitu watu hawajui kuhusu usalama wa Taifa.Usalama WA TAIFA SI KAZI TU YA IDARA ya Usalama wa Taifa ni ya kila mwananchi.Condoleeze Rice SI TU aliijua tu Urusi lakini aliijua ndani nje kupitia raisi
Gorbachev wa Urusi (ALIKUWA hawara yake???!!!!!)

Condoleeze Rice alicheza karata zake vizuri kupitia Raisi Gorbachev kwa pamoja
wakahakikisha adui mkubwa wa Marekani Urusi inasambaratika.Kazi aliyofanya huyo mama ilikuwa kubwa na nzito kuliko kazi iliyowahi kufanywa na jasusi yeyote
aliyebobea marekani.

Hivi huyo mama Condolezza Rice a.ka "Condi" ana undugu na yule bi Suzzane Rice ambae ni balozi wa Marekani katika UN?
 
msomi mzuri
Msomi mzuri tena IT specialist!!! Tunashukuru Mungu kwa Rais kuitambua fani hii ya utaalamu(ICT). Kumbu aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani (honorable Msuya) aliipiga fita miaka ya(in late 60's) sitini!
 
mwaka mmoja baadaye... chini ya kachero no. 1. dk modestus kiplimba
1. mauaji kibiti
2. watu wametekwa
3. wapinzani wanafungwa
4. mauaji ya wanasiasa wa upinzani
5. maiti zinaokotwa ufukweni
6. maiti zimeokotwa MTO ruvu.
7.watu wanapotea mitaani
8.madiwani wanahongwa wahame vyama
9. mgogoro wa chama cha kafu

mi huyu kapilimba alichezeya mitambo ya NEC ili kumpa ushindi baba jei
 
Ukachero ni zaidi ya kufanya kazi za kawaida na vile vile makachero huwa kila sehemu wapo, hata rafiki yako wa karibu waweza kumuamini na kumpa siri zako za ndani kumbe mwenzako ni kachero tena mbobezi, huwa na uwezo wa kufanyakazi popote na katika mazingira yoyote tena yaliyojaa usiri.
 
Kwa ufupi mtu huyu alikuwa Ofisa wa Juu wa Usalama wa Taifa , DG wa TISS , kabla ya hapo alitokea kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi , Kwa sasa ni Balozi , kimsingi balozi ni mtumishi wa Umma kama mabalozi wengine akina Dr Slaa , Polepole na Mwanaidi Majaar .

Kwa mujibu wa sheria za Tanzania si kosa kutaka kumfahamu mtumishi yeyote wa Umma , kwa lengo la kutaka kujua uaminifu wake na kutaka kujua kote alikopita na hata shule alizosoma , elimu yake , uhusiano wake na jamii na mengine lukuki .

Alianza lini kazi usalama wa Taifa , aliletwa na nani , kwanini aliletwa Tume ya Uchaguzi dakika za mwisho kabla ya uchaguzi mkuu 2015 , alisaidia nini hadi kutunukiwa U DG wa TISS ?

Naomba kuwasilisha .
 
Back
Top Bottom