#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Siku za nyuma issue ya Covid ilikuwa na wasemaji wake, nadhani ili tuende sawa ipo haja ya Serikali kuteua wasemaji wa hii issue otherwise tutaendelea kulumbana kila mtu na lwake.
Kama chanjo ni suala la binafsi ya mtu kuamua si sawa kwa yeyote kuvutia upande wake.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa Covid sio suala la kakikundi kokote ka watu bali iwe ni National issue kwa kuzingatia takwa la mtu na asitokee yeyote kuwapoteza maboya wenzake.
 
Hapa hakuna dini na 666 niliyongelea labda unaninyatia.
ukileta mambo ya Dini ndio kabisa nakutoa kwenye mstari kama Gwajima, hapo mnaposhabikia wafuasi wa Roho mara Yesu hamfiki hata 20% ya watu bilioni 7.5
ila mnashabikia 666 wakati Magu na Rwegasira wameondoka, katika hiyo 20% ya watu waiopo duniani kuna madhehebu km sabato , Methodist na Maprotester hawaamini chanjo au kuongezewa damu
sasa J&J ya kimarekani, uje Astra zeneca, uje chanjo za Wuhan, wanawezaje kuwekeana code number zikafuatana?
kazi kwelikweli mm nimechanja na wamenipa Kadi kesho wanaibadili nitapewa ya electonic ili nitambulike

Kwenye hii post yangu uliyo ni qoute sijazungumzia dini wala 666 labda umechanganya mambo wakati unaninyatia.

Muulize DR Mollel nani atawajibika kama ikigundulika watakuwepo Watanzania wamepoteza maisha sababu ya chanjo. Ni mjinga tu asiye jua kwa nini anasanishwa hati ya kujihukumu kifo na jamaa zake wasipate nafasi ya kumuwajibisha yeyote.

Wao hawataki kuwajibika kwa madhara yatokanayo na chanjo lakini wanataka kumuwajibisha mtu angalau anaye jaribu kuwa na roho ya utu, huruma na upendo kuwatahadharisha wanao iendea chanjo yenye walakini mwingi.

Katika chanjo zote zilizowahi kuwepo duniani ipi nyengine ambayo Watanzania walishasainishwa hati ya kujitoa muhanga kwa chanjo? Ili hii ya corona iwe ni muendelezo?
 
Au basi tu nisiandike

#chanjo ni hiari
#waliochanjwa hawataishi milele inabidi wajue hilo.
 
Huyu Gwajima anapiginia tumbo lake. Mwenye makosa ni Magufuli. Hawa wote ni yeye aliwaingiza kwenye ubunge kwa kutumia njia za nguvu. Kimsingi suala la Gwajima ni dogo sana ila linahitaji viongozi wenye busara vision. Mama Samia kama mtangulizi wake hana. Ni kumwambia tu achia ngazi ya ubunge au jiuzulu ''uongozi wa kiroho'' unaokuweka mjini uwe muumini wa kawaida. Akijiuzulu hatapata tena platform ya kuposha. La sivyo kama anataka kuendelea kupotosha basi aachie ngazi kwenye ubunge.

..Nadhani wamenywea.

..hawana mazoea ya kuchelewa namna hii kuchukua hatua.

..Na jumapili ijayo atawashambulia tena.
 
Hi
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.

View attachment 1894702
Hivi huyo Mollel ndiyo nani?? Hivi mtu anayebadilisha kauli kulingana na mwelekeo wa awamu husika he is a serous liability to our country!! Anapaswa ajiuzulu kwa sababu hawezi kuyasimamia yale aliyokuwa anayapinga hadharani!! na sasa anajifanya anayaunga mkono!! Yeye na boss wake ni wasanii wa kufa mtu!
 
Hao ndio waloleta chanjo yenye sumaku, transmetter? Kwa ajili ya kufuatila watu. Gwajima kasema atampigia simu mwanamke Mtanzania ambaye ni raia wa Ujerumani kwa sasa zaidi ya miaka 20 kaolewa huko. Huyu alifanyiwa majaribio kuhusu kuwekewa chip mwilini kupitia chanjo ndio mambo ya msingi kuyajibu hayo.

Na hii kama ni kweli na tunao mawaziri pengine wamechanjwa maana yake carbinate meettings zitakuwa wired na walio na database za hii chanjo. Hii si hatari kwa taifa. Tunajitoaje hapo ndio jambo la msingi sio kupambana na Gwajima aliye wasaidia kulijua hilo.

Na kama ndio hivyo Mungu asaidie
tiba yake isije ikawa kukatwa kiungo kilichopandikizwa chanjo hiyo. Nakuhakikishia wako ambao watakuwa tayari na watakubali kukatwa kuliko kupoteza uwaziri. Tumeona walivyogeuza ndimi zao tokea wakati wa JPM mpaka sasa wakati wa SSH.
Kwamba zile chanjo zina chip?
 
Mdahalo uwekwe live najua gwajima atashinda na selikal iweke wazi waliochomwa na waangaliwe kwa miaka 2 akifa hata mmoja tayar kesi closed gwajima anakuwa ameshinda
Na ambao hawajachoma wakifa seikali itakuwa imeshinda? Nani kakwambia chanjo ya Corona Ni kwa ajili ya kuzuia kifo?
 
Naanza kupata mwanga hii sheria na taratibu mpya za kusajili Taasisi za dini kila baada ya miezi 6 nadhani ilimlenga gwajima. Wanataka wamuweke mtu kati gwajima the bold nad brave.
Kanisa lake likitishiwa kutosajiliwa Gwajima ataendelea kuwa strong au atanyoosha mikono ju?
 
Dr. Mollel mpaka hapo, tunaweza kusema kachokonoa nyuki ndani ya mzinga wao wakati wa mchana wa jua kali bila kuwa na kinga ya kujizuia wasimuume...

Nimesikiliza video yake mwanzo mwisho. Kuna mahali kamwita Mch. Gwajima "mjinga pamoja na wajinga wenzie wengine - akimaanisha wanaopinga chanjo na pengine na waumini wote wa kanisa la ufufuo na uzima"...

Na hapa maana yake, katukana jamii yote ya Ufufuo na Uzima na hakika HATABAKI SALAMA huyu...

Sina shaka kuwa, yeye Dr. Mollel na waliomtuma kuchokoza nyuki, watapata majibu yao kesho tu toka kwa Mch. Gwajima maana alishasema, yeye huwa ukimbipu, basi anakupigia hapohapo bila kuchelewa;

Alishasema, ukimchokoza anakufyatua bila kuchelewa...!!

Stay tuned...
 
Hapa hakuna dini na 666 niliyongelea labda unaninyatia.

Kwenye hii post yangu uliyo ni qoute sijazungumzia dini wala 666 labda umechanganya mambo wakati unaninyatia.

Muulize DR Mollel nani atawajibika kama ikigundulika watakuwepo Watanzania wamepoteza maisha sababu ya chanjo. Ni mjinga tu asiye jua kwa nini anasanishwa hati ya kujihukumu kifo na jamaa zake wasipate nafasi ya kumuwajibisha yeyote.

Wao hawataki kuwajibika kwa madhara yatokanayo na chanjo lakini wanataka kumuwajibisha mtu angalau anaye jaribu kuwa na roho ya utu, huruma na upendo kuwatahadharisha wanao iendea chanjo yenye walakini mwingi.

Katika chanjo zote zilizowahi kuwepo duniani ipi nyengine ambayo Watanzania walishasainishwa hati ya kujitoa muhanga kwa chanjo? Ili hii ya corona iwe ni muendelezo?


Gwajiboy atamfuta kazi Mollel muda si mrefu
 
Back
Top Bottom