Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Hivi jeshi letu LA polisi na vyombo vya usalama vinasubiria nini mpaka sasa?Kwanini wasimuhoji Mollel kuhusu hili swala LA Lissu ?eti mpaka ufafanuzi wa ruzuku!!,hivi kwanini watu vichaa kama hawa wanaichezea serekali?na hajuii madhara ya maneno aliyotoa?.


Sasa kwavile serekali inahangaika sana kujisafisha na kujitetea kwa swala LA Lissu,nadhani huu ndio wakati pekee wakujisafisha kwa kumuhoji na kuchukua taarifa za Mollel ili tuwajue hao chadema walio andaa mikakati yakumuua Lissu.Lasivyo bado lawama niupande wenu serekali ya ccm,mulikuwa mukililia Lissu arudi ahojiwe,lakini bahati nzuri amejitokeza Mollel nadhani ndie wakuanza nae.Tunaomba mujisafishe kwakumuhoji Mollel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa wachache sana wanaamini uwepo wa Mungu na wanamuamini Mungu kisawa sawa wengi wao huamini katika waganga wa kienyeji ili ku set mambo yao sawa kwahyo usihadaike na majina sijui John,Job,bashe etc na kaa ukitambua kuwa sio kila aingiae kanisa ama msikitini ni mcha Mungu kuna wengine ni wanga,wachawi,etc kwahyo sasa huo uongo unaosema wewe dhambi wenzio wanaona ni kawaida, ila ipo siku tena ile siku ambayo roho itaachana na kiwili wili ndipo watakapo tambua ukuu wa Mungu lakini ndo itakuwa too late.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni vema tukawa tunajadili kauli za watu ambao wana akili timamu.

Mole sidhani kama ni mzima. Mtu yeyote anayeweza kukubali kununuliwa lazima awe na upunguani wa aina fulani. Huyu definately ni punguani.

Hata serikali yenyewe inajua kuwa kauli hii imetoka kwa punguani ndiyo maana hakuna atakayeifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Tznia hawata nunua hiyo stori sio mazezeta kwa kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na yeye wote waongo
Next...
 
Naunga mkono hoja. Kama kuna mtu anabisha aombe picha ya huyo Mollel amuangalie vizuri.
 
Muongo
Kwa nini aseme leo
Hizi sifa za kipumbavu
Hivi hawa watu wana familia kweli?
 
[emoji445][emoji445]Buku 7 tetema, ohh mama tetema
[emoji445][emoji445]tipwatipwa tetema, ohhh mama tetema [emoji445][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wazazi wenye watoto waliouwawa kikatili huko Njombe tayari wameshachukuliwq na POLISI,vipi huyu mwenye ushahidi wa suala la siku nyingi tena linaloichafua taswira ya serikali anayoitumikia badi yupo mtaani na ushahidi wake??!!

Au anasubiri siku akihitajika aje na maneno kuwa ma**** wa Chadema wameshampora ushahidi huo??

Naipenda nchi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mbowe alivyonunuliwa na Lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia kosa yote ila usikose AKILI. Hii ni kitu watu wengi ccm hawana na ndio maana mawazo kama haya yanakuja hata huku JF.
Kinachoniuma zaidi, wote kama nchi kwa pamoja tunabeba lawama hizi kuwa HATUNA AKILI maana ndivyo dunia inatuona.
 

True na ndumba zimewapofusha maana Kazi ya ndumba ni kupunguza uwezo wa kufikiri Kwa 67% thus MTU anaacha kutumia akili yake ya kawaida na kuendeshwa na MTU mwingine. Huwa wanaelewa wakiwa washachelewa.
 

Serikali yeyeto dhaifu duniani utumia nguvu zaidi ya hoja,pia ni rahisi kuchezewa na watu kama hao wanaopewa teuzi kama fadhila baada ya kutukana upinzani. MTU atangulizaye tumbo kwanza hawezi kuwa timamu nje ya tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…