Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Hivi jeshi letu LA polisi na vyombo vya usalama vinasubiria nini mpaka sasa?Kwanini wasimuhoji Mollel kuhusu hili swala LA Lissu ?eti mpaka ufafanuzi wa ruzuku!!,hivi kwanini watu vichaa kama hawa wanaichezea serekali?na hajuii madhara ya maneno aliyotoa?.
Sasa kwavile serekali inahangaika sana kujisafisha na kujitetea kwa swala LA Lissu,nadhani huu ndio wakati pekee wakujisafisha kwa kumuhoji na kuchukua taarifa za Mollel ili tuwajue hao chadema walio andaa mikakati yakumuua Lissu.Lasivyo bado lawama niupande wenu serekali ya ccm,mulikuwa mukililia Lissu arudi ahojiwe,lakini bahati nzuri amejitokeza Mollel nadhani ndie wakuanza nae.Tunaomba mujisafishe kwakumuhoji Mollel
Sent using Jamii Forums mobile app