Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Huenda molel na selasini walihusika kwenye mipanga ya kumuua Lissu

Dah kumbe selasini siyo MTU mzuri, nilikuwa namwamini sana
 
Wabunge waliounga juhudi nao walihusika na mipango ovu ya kutoa uhai was raisi wetu ajaye
 
'Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga'
 
Mkuu kuna taarifa hata ukiikuta mahali haupaswi kunakili, unaipuuza ili kujisitiri.Kwani wewe akili zako unazitumia kwenye mambo gani?

Kikwetu Etwege inamaanisha mpumbavu.
 
Huo ushahidi ameupata baada ya kuhama Chama!? Poor Dr.
 
Hakuna serikali ya ovyo kama hii kuhawi kutokea ktk nchi hii. Yani Chadema wapange kuua mtu halafu waachwe tu. Kenge kabisa hao.
 
mbona Chadema hawajakamatwa pamoja na hii damning evidence ya Mollel?

au wakamataji wamegundua kuwa Mollel ni chini?
 
Sasa kwann hamuwakamati wahusika? Mana waachia tu huru. Kutwa mnaimba ni wauawaji.. jmn fungueni kesi? Mbona ni ishu rais sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaofuatilia utendaji wa Mungu muumba wa mbingu na nchi sasa siyo wakati wa kushindana tena na utawala huu wa CCM.
Kipigo kimeanza kutoka kwa Muumba na hakuna wa kuzuia hadi wajitokeze watubu.
Farao yaani jiwe ameanza kuonyesha shingo ngumu yaani ujiwe! wake.
--Amekataa kabisa kuzuia maambukizi ya korona yasiingie nchini. Wakati wenzake wanafunga mipaka ya nchi zao yeye akafungulia watalii kutoka kwenye kiini cha korona.
-- Wakati wenzake wakijaribu kudhibiti "community infection yeye yuko busy kuruhusu Dar kitovu cha korona kwa tanzania iendelee kusambaza nchi nzima.
-- Wakati wenzie wakihimiza kuvaa barakoa yeye ndio mwanzo analeta mambo ya kijinga eti barakoa zina korona.
--Wakati wenzake wakitambua korona ni ugonjwa na siyo mapepo yanayotolewa kwa maombezi ndiyo kwanza anahimiza mikusanyiko kwa kisingizio cha maombezi.

Sasa ameanza kupigwa wabunge wake wawili wagonjwa mmoja amepiga teke juzi na anazikwa na watu kumi. Yule wa kinondoni aliyesababisha watu wakapigwa na mwanafunzi akauawa yuko njiani kwenda kuzimu.
Sasa atapigwa systematically hadi ndani kwake trust me. Ni lazima atubu na kuwaachia wana wa Mungu huru ama sivyo kipigo ni lazima.
Kuwaachia watu wa MUngu huru ni kuruhusu
---Utawala wa sheria
---Tume huru ya uchaguzi
---Kuchunguza vifo na utekaji tatanishi tanzania

Bila hivyo bahari ya Sham itawameza wote na majeshi yake kama alivyozika watu bahari ya hindi kwenye viroba..

Siku, saa, sekunde zinahesabika

Nasema wewe unayejiita shingo ngumu aka Jiwe Tubu ama sivyo you will perish!!
 
Huyu si mwingine bali ni Dk Godwin Mollel ni mtu pekee ambae alionyesha ushujaa wa hali ya juu kwa kusema ukweli juu ya watu waliompiga risasi mwanasheria nguli, Tundu Lissu.

Ni Daktari wa binadamu na ameshawahi kuwa mtumishi wa serikali kama kwa muda mrefu, na akaamua kujiunga na CHADEMA. Baada ya kuona ni chama kisichofaa baada ya kupanga njama za kumpiga risasi Lissu aliamua kurudi CCM.

Dkt. Mollel alifichua njama zote zilizopangwa na Chadema ili kumuua Lissu sababu Lissu alionekana kupata umaarufu kwa muda mfupi. Pia Dk Mollel alidai CHADEMA wana kikundi cha magaidi ambacho huwa kinatumika kufanya ghasia na ugaidi. Mfano ni lile bomu walilolipua kwenye mkutano wa kampeni mjini Arusha ambapo watu walikufa na kujeruhiwa.

Ni Daktari mbobezi hivyo anaenda kufanya kazi kama alivyotumwa na mkuu wake. Ila wazalendo wanampongeza kwa kusema ukweli juu ya wasiojulikana ambao ni CHADEMA.
 

Attachments

Kuna mahali (x) pakubwa pia panapwaya sana, nahisi tunaweza kupata interim baada ya bunge kuvunjwa kuelekea uchaguzi wa October.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…