Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu


Acha siasa za kihanithi we dogo. Usitake tukuchafulie humu ndani uone ni jehenamu.
 
Ishu kama hii uifanyie porojo? Na alisema yupo tayari kuhojiwa!
Ahojiwe na nani??

Ama ahojiwe na waliomtuma?

Hii si hoja kwamba chama chake ndiyo waliompiga Lisu risasi.

Waliofanya hivyo wanajulikana na serikali na vyombo vyake vya dola ndiyo sababu hawajishughulishi hata kufanya uchunguzi.

Hata hivyo jambo hili litakuwa wazi baada ya utawala wa awamu hii ya 5.

Kuna mtu najua tu ni lazima atapelekwa mahakamani kwa kesi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha siasa za kihanithi we dogo. Usitake tukuchafulie humu ndani uone ni jehenamu.
hasira za nini sasa, Member katuhabarisha kuwa Mollel kaukwaa unaibu wa Wizara ya Afya wewe unamtukana mleta mada hatukuelewi au mpaka Mh F Ndugulile akuelezeea aliyokutana nayo?

Faustine Ndugulile

Nimepokea uamuzi wa Mhe Rais kwa unyenyekevu mkubwa. Ninamshukuru sana JPM kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake. Nawashukuru sana
@umwalimu
na watendaji wote kwa ushirikiano walionipatia. Mafanikio ya sekta ni makubwa sana. Namtakia kila la kheri NW ajaye Dkt Mollel.
Ndugu yangu zitto junior tusubiri uapisho huko Ikulu ya Chato hivi leo
 
Huyu Ndio alifuchua waliomshambulia kamanda wetu wa Ubeligiji ?

Ndio maana dereva harudi

Hivi ID yako ile ya zamani umeitosa kabisa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…