Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Jiwe
Sema mgonjwa wa akili wa jimbo la Siha apata unaibu waziri.
Kule Siha ndivyo anavofahamika hivyo.
Jiwe kaona huyu kichaa anaenda kupingwa chini na mwanri kaamua kumuokoa dk ya 89 Sasa mwanri ndo atajua unafki wa jiwe
 
Ishu kama hii uifanyie porojo? Na alisema yupo tayari kuhojiwa!
Ndo kusema vyombo vya usalama wanashikiwa akili na Mbowe kwa kutomhoji mtu mwenye ushahidi wa muhimu hivyo? Labda kwa kuwa sasa ni waziri atasilizwa fasta, ili walio mfyatulia ‘raisi’ Lisu risasi wakamatwe?!!
 
Kuna mkanganyiko mkubwa sana kwenye hizo taarifa...

Hii inaitwa funika kombe... mwanaharmu apite...



Cc: mahondaw
 
Mtoa uzi umelogwa na lumumba wewe...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…