Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

This is part of the academic thesis that has awarded him the post of a deputy minister. Bravo!
 
Sijui. Kada aitwe polisi?
 
Jamaa naona usaliti na unafiki umemlipa finally..hongera Dr. Ila una la kujibu kwa mwenyezi Mungu..!!
 
Kuna kaujinga fulani ka asili ambako hakaondoki kwa kwenda shule sana, kubobea kwenye siasa, au hata kupanda vyeo.
 
dawa inawaingia Chadema taratibu kama ukimwi. Si walisema JPM yupo Chato? Hawakujua kwamba yupo kazini.
 
Huwa wanaropoka tu bila reasoning tu ili kumfurahisha mungu wao
 
Huyo mkoma tu
 
Nina uhakika hawezi kutoa kauli natuhuma kama hizi nzito Bungeni lazima kiti kingemuagiza adhibitishe vinginevyo anaitwa kwenye kamati.Bunge letu ni makini kama ingekuwa ni rahisi hivyo mbona wabunge wa Cdm wana ma"file"" lukuki kuhusu wabunge wa CCM kuhusu kashfa walizonazo na mambo mengine binafsi kama vile magonjwa sugu. michezo michafu ya kununua wabunge na kutekana e.t.c
 
A lot of shit is coming soon from this fugitive.
 
Nina imani na aliyosema mzalendo Musiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…