Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Huyu hawakilishi wananchi, anajiwakilisha mwenyewe. Uwakilishi wa wananchi uliisha pale alipojiuzulu.
 
kama wanaushahidi wanachelewa nini kuweka mambo hadharani ili hili igizo liishe....na huyu mzee mollel amelijua hili baada ya kutoka chadema..nimeamini kweli siasa haijawahi kumuacha mtu salama......

ukizisha mbwembwe kwenye siasa unaweza ukajikuta umekuwa tahira....
 
Mbunge wa hovyo ni Lisu aliyekimbia jimbo lake na kwenda kuwa shoga Ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo shoga kwa kuwa ndiye uliyempiga risasi ukasababisha awepo huko sasa ujue wewe cyprian Musiba Bangi zinakusumbua sana nasikia sasa unaishi kwa mganga wa kienyeji huko morogoro vijijini milimani
 
Lete cctv camera na walinzi wa getini kwanza
Lissu alikuwa anaishi mle na vijana wa Chadema walikuwa wana access ya kuingia mle. Ndio walig'oa Cctv camera. Chadema wanajua kila kitu.
 
Daud Bashite nyaulingo cyprian Musiba le mutuz walikuwa kwenye magari yalikwenda Dodoma kumshambulia Tundu lisu na shambulio lilitekelezwa na Heri kisanduku chini ya maelekezo ya nyaulingo, Hakuna siri kwani Le mutuz alilewa bar akaropoka kila kitu
 
Lissu alikuwa anaishi mle na vijana wa Chadema walikuwa wana access ya kuingia mle. Ndio walig'oa Cctv camera. Chadema wanajua kila kitu.
Acha porojo za kutengeneza cctv camera unazo wewe kazilete kwanza
 
Ni vema Polisi wakamkamatia huyu jamaa awape ukweli na usahihi wa taarifa hizi zilizolichafua na kulitukanisha jeshi letu pamoja Serikali.
Hii siyo habari ya kuinyamazia,mtu anasema ana ushahidi [emoji848][emoji848] atusaidie kuutoa.
Hii haikubaliki,kwa nionavyo huyu alipaswa awe ameshachukuliwa kwa mahojiano tayari.

Luckman1
 
Ukishakuwa CCM hata uwe na Phd, lazima uwezo wako wa kufikiri uathirike.
Molel siyo Doctor ni mtu anajiita Doctor lakini kiuhalisia hana Taaluma kichwani ni mbumbumbu kilaza wa kutupwa.
 
[emoji1787]ni utahira uliotukuka kuamini kwamba
1. CHADEMA wanaweza kuondoa cctv camera kweny nyumba ya waziri
2.chadema wanaweza kuondoa walinzi wa suka jkt mageti 2
3. CHADEMA kwa wanavyoandamwa serikal ingeshakamata wote walioshirik
4.chadema wanawez kuchanga pesa zao kumtibu mtu walie mjeruhi wao
5. CHADEMA wanawez kumnyima mshahara
6.chadema Ndio walimvua ubunge
7.chadema Ndio walio mpeleka ubelgiji
8.chadema Ndio walio wanyima wabunge wa ccm,madiwan,na viongiz wengn kumtembelea lisu na kumuuliza hali ikiwemo kumchangia[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…