Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

WAMKAMATE mzalendo wa ccm?sanasana itabidi wambembeleze maana katoa hadi masharti ya kuachia huo ushahidi wake
 
Unazungumzia 2012-2013, tukio ni la 2017 ndugu huoni tofauti ya muda ama?
 
Siku zote alikuwa wapi?Baada ya kutia nia basi anaushahidi labda atuambie hata yeye alihusika tutamwamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yeye mwenyewe mwizi! Anaiba mpaka sampuli! Kweli ukizoea wizi ni shida tupu.
 
Madakta wa CCM wazidi kutia fora
 
kweli kabisa sasa inakuwaje tena ushahidi kauwekea masharti? si ndo nafasi ya kuaiabisha chadema? kambembelezeni basi? HALAFU JAMAA ATAKUWA JEMBE SANA HUYU ANAFAA U WAZIRI HUYU
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ama kweli kick zitatafutwa sana mwaka huu. Alikuwa wapi kuleta ushahidi huu muda wote. Azipeleke kwa vyombo husika ili hatua zichukuliwe. Kinyume cha hapo huo ni usanii mtupu.
 
CCM Mungu anawaona, hivi mnawapa nini hawa watu mpaka wanakuwa vichaa kichwani ilhali wanavaa suti mwilini?
Je, zile CCTV cameras ziliondolewa na wanachadema?
Serikali au CHADEMA ndiyo iliyomnyima fefha ya matibabu ili afe?
Aliyetaka Lisu afe ni yule aliyemshambulia kwa risasi na kumnyima fedha za matibabu ili abaki Dodoma wammalizie kiulaini.
Mungu na ahukumu sasa kwa kumnyima uhai yule aliyehusika
 
kwa hiyo cdm ndio walioondoa cctv na walinzi na mbona cdm wapo hapa hapa tz wafungulieni mastaka, au ndio yale Yale mmeanzisha mahakama ya mafisadi na fisadi mnayemwita lowasa yupo ila mnaishia kumualika ikulu. CCM =SHETANI
 
Huyu alitakiwa awe polisi kulisaidia jeshi la polisi kama kweli kasema anaushahidi. Huwezi kuwa na ushahidi wa attempt ya mauaji kwa mtu kumiminiwa risasi 16 halafu wewe uutangazie umma kuwa unawajua wahusika halafu jeshi la polisi likakuangalia tu bila hata kukuhoji. Na kama anaushahidi na alikaa nao muda wote huu huyu anatakiwa akamatwe na kufunguliwa mashita he is a complicit of madder attempt
 
Yaani akili za Mollel ni kama za Omary Mahita kipindi amejidai kukamata container ati limejaa visu vya CUF kisha akashindwa kuwapeleka watu mahakamani wakati vidhibitisho alikuwa navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa nini Serikali iendelee kuumbuka kupitia TL wakati kila kitu mnacho na mmeficha!? Utakapoweka hadharani ushahidi huo, TL hawez wala hata kua na ujanja wa uendelea na ziara zake kwenye Media.
Wewe uliyebaki na ushahidi ndie unaeiangamiza serikali yako na chama chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mimi hata wabunge, Sayd Kubenea (Ubungo) pamoja na Anthony Bahati Calyst Komu (Moshi Vijini) wanajua/wana ushahidi japo wa mazingira, kuhusiana na tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi. Tusubiri kuche.
 
Lisu huko aliko awaambie tayari kuna Mbunge ana Ushahidi pasipo shaka, ahojiwe haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…