nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
WAMKAMATE mzalendo wa ccm?sanasana itabidi wambembeleze maana katoa hadi masharti ya kuachia huo ushahidi wake
Aisee huyu ni wakukamata kabisa. Hii ni dharau kubwa kwa serikali tukufu na jeshi letu imara la Polisi. Yaana Jeshi lenye vifaa,askari wa kutosha, wanalipwa vzr. Wamepata mafunzo ila mpaka Leo bado wanachunguza tukio la Lisu hawajawafahamu wahusika. Alafu Leo huyu Mollel mmoja tu hana mafunzo wala vifaa halipwi hata kwa kazi hyo anasema amewapata wahusika? Kwa hiyo ni mpelelezi mzuri kuliko polisi wetu? Hii ni dharau aisee hata kama ni kweli, huyu akamatwe kwa kudhalilisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Haiwezekani aweze kilichowashinda wanausalama wa nchi.