Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

Halafu tunambeza chifu mangungo kwa akili hizi, bora yeye hakuwahi kwenda shule.
Yani kwa mikataba mingi tunayoingia bora ya mangungo kama ulivyosema hakuwa kasoma na wala hakuitwa kuwa ana PhD. Sijawahi pia kuelewa dereva wa serikali walau awe kamaliza form 4 ila mbunge mtunga sheria na mpitisha budget ya serikali ajue kusoma na kuandika. Hiki kigezo nadhani kilikuwa kwa ajili ya zama zile wasomi wachache. Sema hata muda mwingine wasomi wenyewe nao hawana ufahamu na wenye ufahamu wanajitoa ufahamu kulinda kula kwao.
 
Mimi naupinga !!!

Hata kama nikiwa peke yangu naupinga haimaanishi haki yangu ya kuupinga inatoweka....

And let this statement shows kwa vizazi vijavyo kwamba sio wote walishiriki kushangilia upuuzi wa Ukoloni mamboleo (Mababu zetu walifanywa watumwa kwa kutumikishwa miili yao sisi akili zetu nadhani tumezigawa)
 
Sometimes unafeel like why US??Yaani unakuwa na waziri mwenye İQ ndogo kama Mollell then u wish nchi itasonga mbele kimaendeleo.....leo ilikuwa ni platform kubwa saaana kwa wabungu kulisemea TAİFA.....rather than MAJİMBO ya uchaguzi....ilikuwa ni time kujenga hoja zaidi na kuonesha why walichaguliwa kuwakilisha wananchi...unlike that wamebase kufanya personal attacks.....nchi bado ina safari ndefu saaana.😴
 
Hao wenye PhD mbona sasa wanajichanganya, Kitila kasema hakuna mkataba hapo kuna makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya dubai na Tanzania. Halafu wengine kama Mollel wanasema kuwa hakuna mtanzania anayepinga mkataba wa bandari na Dp sasa ukweli ni upi au na hao wenye PhD hawaelewi wanachojadili?
Kwahiyo molel ana PHD ? Khaaaaaa halali chadema iendelee kuchechemea mana unatakiwa kumjua adui

Nyie ,mnang'ang'ana molel ana PHD kaitoa wapi?
 
Sometimes unafeel like why US??Yaani unakuwa na waziri mwenye İQ ndogo kama Mollell then u wish nchi itasonga mbele kimaendeleo.....leo ilikuwa ni platform kubwa saaana kwa wabungu kulisemea TAİFA.....rather than MAJİMBO ya uchaguzi....ilikuwa ni time kujenga hoja zaidi na kuonesha why walichaguliwa kuwakilisha wananchi...unlike that wamebase kufanya personal attacks.....nchi bado ina safari ndefu saaana.😴
Usimlaum mkuu!! CCM inataka uwe hivyo!!
 
Katika Mawaziri mazezeta hili ni Zezeta Pro Max, na hapa ndio unahoji hivi Rais wa Nchi hii anataka kweli kuifikisha nchi mbali kwa kuwa na Mazezeta kama haya?
Hili jamaa halijawahi kuwa serious kabisa katika kazi zake, lipo kimzahazaha kama toto la boarding form 3.
 
Dadek hii nchi siku hizi kila mtu ni mbabe. Eti hadi Dokta Mollel asiejua kuongea anatisha watu😀😀
 
Kwahiyo molel ana PHD ? Khaaaaaa halali chadema iendelee kuchechemea mana unatakiwa kumjua adui

Nyie ,mnang'ang'ana molel ana PHD kaitoa wapi?
Mimi sijasema ana PhD ila nimemjibu aliyesema ana PhD. Mimi mollel sina hakika na kisomo chake.
 
Ni doctor wa verte

Ni doctor wa vertenary, amezoea mifugo Zaidi
Mifugo hatuna madaktari wanajipendekeza! Wala hatuna njaa za uteuzi! Huyo ni daktari wa majipu ya binadamu!
 
Mara nyingi anayeteuliwa huwa Ana sifa ninazofanana na anayemteua .
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAIASL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom